Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Sifikiri kama ualimu unamfaa ni basi tu.. Bora hata Polepole angemuwahi yeye kuitangaza sisiemu eeeeh.. napenda ambavyo haingizi ya yeye na wanafunzi wake kwenye maandishi yake.. anaheshimu kazi yake sana.. na anajua mipaka.
anaweza kuwa na sura mbili, ya mtandaoni na ya kazini ambazo hazifanani
 
Wampeleke naye milembe kwanza kumpima akili yake kwanza!

Ova
Hakuna yeye ndie akathibishe mahakamani na kutoa ushahidi kama ni mzima au mwehu akisema mzima sheria iendelee mkondo wake akithibitisha ni mwehu na mahakama ikakubali jamii forums na mitandao yote ya kijamii na media zote inatakiwa kumblock hadi siku mahakama itakapotangaza kuwa ana akili timamu.Lakini sio anaenda pale polisi wanasema mwehu yeye anasema leteni ushahidi hapana.Yeye ndie afanye hiyo kazi.Polisi watakuwa watu wa aina hii wengi mtakuwa mnakesha wodi za vichaa kupimisha hawa vichaa wa aina ya Tito na kisandu wakidakwa wapitie procedure za kawaida wao wakajichomoe wenyewe kwa ushahidi wao sio polisi iwasaidie kuchomoka
 
Kwani DEO anafundisha somo gani? Natamani sana kujua kwa kweli
 

Kwani we unafikiri kisandu ni mzima!

Kisandu Syo mzima hakuna haja ya kuingia garama kumtibu sjui kumpima etc,hyo wampeleke milembe moja kwa moja TU tena kwa sababu yeye ni chizi furesh akingia milembe atachezea mkongoto toka kwa wana milembe wenzake waliyodata zaidi yake....

Mtu Mwenye anayejitambua hawezi kuandika utumbo huo mtandaoni mkuu

Ova
 
Mi huyu DEO kiukweli hata nyuzi zake humu nilikuw sizielew mana alikuwa anayaweka maisha yake wazi pamoja na visasi kuna wakati nilihisi labda ni mwandishi kumbe mwalimu...
Apambane tu,

silence is a great word
 
Huyu Deo anajadiliwa humu mwara kwa Mara, who is he ?
 
Hahahaaa "mimi deo nalimi kisandu aka masqo"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…