Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Nilitegemea sana jamaa leo kuwa chini ya magwanda ya kaki,maana hata alichopost jana kumtusi mtume Muhammadi kilistahili kabisa leo awe chini ya polisi maana hana tofauti na TITO.
 
Hao mapolisi wanatafuta kiki kupitia Deo.. hakuna lolote baya aliloandika.. zaidi ya hamu ya mwili wake kutenda yajulikanayo.

Haya wanaanza kushindana nani anajua kukamata watumia mitandao.
Akiamka analog in JF anamwaga yake ya moyoni, anatuacha tuselebule na uzi, mwenyewe anarudi siku nyingine tena na uzi mpya.
 
Kuna watu wanatukanana daily huko IG mbona hawakamatwi, labda wame mkamata Kwa kigezo cha kuwa mwalimu, wameona italeta shida Kwa wanafunzi wake kimaadili

Amekuwa anaandika mengi kwa muda mrefu.. ila wanafunzi hao wanasoma mangapi ya wengine.. kama wanaweza ingia mitandaoni..

Yeye kusema hamu ya mwili sio tusi kabisaaaa. Hawa ni kiki tu.. maneno machafu wanayaona kila kukicha.. ma lezibi wale wawili na sheria ipo huko huko Mwanza kwa kideo kimeonekana wamewaachia huru.. kiki tu
 
jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutimia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi mazito kwa takriban wiki nzima.

hii taarifa nimona fb hivi ndo hyu hyu wa humu au ni ndg yake.
 
Let's wait and see how the movie will end
 
Akiamka analogi in JF anamwaga yake ya moyoni, anatuacha tuselebule na uzi, mwenyewe anarudi siku nyingine tena na uzi mpya.

Eeeeeh
Ila ukimuwahi anajibu eeeeeeh
Nasubiria la leo sijui nani kamchongea kisa ana Chama chake.. natamani wamuonee aje ashitaki humu..
 
jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutimia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi mazito kwa takriban wiki nzima.

hii taarifa nimona fb hivi ndo hyu hyu wa humu au ni ndg yake.
Kama humu huwa anatukana atakuwa ni yeye ila kama huwa hatukani atakuwa mwingine
 
Ningeshangaa mno kama angezidisha wiki hii kitaani maana huyu alikuwa zaidi Tito
 
jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutimia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi mazito kwa takriban wiki nzima.

hii taarifa nimona fb hivi ndo hyu hyu wa humu au ni ndg yake.
upload_2018-1-24_17-28-43.png
 
  • Thanks
Reactions: BAK
No. Hata polisi wakimwachia... Haitakiwi tume ya maadili imwachie huyo.
Atafukuzwa kazi kwa kukosa maadili. Alkuwa anafata kiki ameshapata. Hata akiacha huo ualimu....atapata kaz nyingine

Sifikiri kama ualimu unamfaa ni basi tu.. Bora hata Polepole angemuwahi yeye kuitangaza sisiemu eeeeh.. napenda ambavyo haingizi ya yeye na wanafunzi wake kwenye maandishi yake.. anaheshimu kazi yake sana.. na anajua mipaka.
 
Back
Top Bottom