Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

hii serikali kwann wanahangaika na vitu vidogo ,huyu kisandu hapa jf tunampuuziaga tu nyuzi zake tunazisoma just for funny ,wao kwann wanashindwa kumpuuza tu
 
509a5f71cb1730cb759137e7c0380063.jpg
[emoji3]
 
Siku hizi Tz kuoneshwa kwenye luninga huna haja ya kulipia. Nenda sokoni anza kuimba wimbo wowote, tiyari Tvt ipo hapo na matv cameras mengi tu na chini ya nusu saa weshakurusha live.
Deo ni mtu wa kupoteza muda wako kumkamata jamani?? Watafuteni wahalifu wanaotuulia wanetu bila makosa sio kisandu. Hebu wasomi watuambie huyu mtu atafunguliwa kosa gani huku mkijua wazi kuwa huyu ni chizi??
 
Eti anawafundisha nini wanafunzi wake, kama ni mwalimu wa BIOLOGY
aachiwe haraka sana.
Hata hivyo mtu akikuangukia miguuni si vema kumpiga kwanza muinue
halafu umsaidie kumpeleka HOSPITALI, Kwa tabia zilizooneshwa hivi karibuni
na Kisandu katika hali ya kawaida alitakiwa kusaidiwa na idara inayomsimamia
kumpeleka Hospitali na si POLISI.
 
Huyu jamaa nasikia ni mwalimu ...kazi ipo kwa aina hii ya walimu, ndo maana zero zinazidi na wanaozitetea nao wanaongezeka
 
Eti anawafundisha nini wanafunzi wake, kama ni mwalimu wa BIOLOGY
aachiwe haraka sana.
Hata hivyo mtu akikuangukia miguuni si vema kumpiga kwanza muinue
halafu umsaidie kumpeleka HOSPITALI, Kwa tabia zilizooneshwa hivi karibuni
na Kisandu katika hali ya kawaida alitakiwa kusaidiwa na idara inayomsimamia
kumpeleka Hospitali na si POLISI.
point and fact as well
 
Matusi gani kaandika ,toa mfano
Utakuwa mwalimu wa somo la historia make nikiwa najibu kila point nilikuwa naipa mfano.. kumbe matusi nayo yanahitaji mifano!!????
 
Back
Top Bottom