Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Rudi shule aisee... Aliyekwambia ujenzi wa mji Mkuu huwa unaisha nani .Abuja Nigeria ilitangazwa mji Mkuu wa Nigeria tangu mwaka 1991 na mpaka leo bado unajengwa.Hapo Dom penyewe Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu ilianzishwa tangu mwaka 1973
Mm na ww ni nan anastahili arudi shule!? Za kuambiwa changanya na zako bila unashika hata akili speaking of Dodoma as a Capital city Magufuli ndio amekuja kuhamishia makao rasmi hapa, na ndio kafanya mnavimba now he's gone, do you exactly expect there is a leader who is ready to live and stay in Dodoma!? Angalia mji wa kiserikali hapo Mtumba wanajenga kumalzia tu kwakuwa JPM ndio aliamua, miradi mingi hapa ni ya JPM.

Niambie sasa wakimalza miradi ya JPM kuna nn kingne watajenga hapa ilhali hta sshv wanajenga only bcoz Magufuli started it ๐Ÿ˜… za kuambiwa Changanya na zako.
 
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
Okay tuseme UDOM ni hzo ghorofa 200 Magufuli city tuipe 300๐Ÿ˜… Kisasa 400 ,Njedengwa 400 ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคญ tambukareli 500 na City C 400 ni Maghorofa mbn idadi haijafikia yale ya Mwanza!?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
 
Duh! Yaishe
 
Angalau Leo Mbeya ipumzike.

Ushauri. Achana na Mambo ya kuponda miji ya watu haitakusaidia chochote badala yake weka hapa ushauri wako Kwa wakati wa Mwanza Kama wahamie Dodoma au wafanye nini.
 
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Poi

Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
We huna unalolijua ..imebaki kuassume tu ...
We nyakato unapajua ? ni km ngapi Toka CBD ? ..eti nyegezi.. nyegezi ipi ..
Hyo kisasa yako inaizidi nini nyegezi?
Kuna rich neighborhoods hapo ugogoni ya kuzidi nyakato mwananchi ?
 
Wewe nenda kabishane facebook ndio level zako...
-Magufuli ndio alianzisha CDA mwaka 1973?
-Magufuli ndio alijenga Bunge,UDOM n.k

Ujenzi wa Mji Mkuu ni mchakato usioisha ...kilasiku taasisi na idara mpya za Serikali zinaanzishwa na zote zitatakiwa kuhamia Dom.Hicho unachokiona Dom ni phase one bado kuna phase 2, phase 3,phase 4
 
Okay tuseme UDOM ni hzo ghorofa 200 Magufuli city tuipe 300๐Ÿ˜… Kisasa 400 ,Njedengwa 400 ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคญ tambukareli 500 na City C 400 ni Maghorofa mbn idadi haijafikia yale ya Mwanza!?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Nipe idadi ya maghorofa ya Mwanza Jiji (sio Mwanza Mkoa) tulinganishe na ya Dodoma Jiji. TAKWIMU za maghorofa kwa mujibu wa NBS ni za kimkoa(regional-wise) sio city-wise
 
Nipe idadi ya maghorofa ya Mwanza Jiji (sio Mwanza Mkoa) tulinganishe na ya Dodoma Jiji. TAKWIMU za maghorofa kwa mujibu wa NBS ni za kimkoa(regional-wise) sio city-wise
Hv mkuu upo serious!? Kweli Dodoma na Mwanza!? ๐Ÿ˜…
 
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
Dodoma nimeishi kote huko nakujua vyema ila bado sijaona sehemu ya kulinganisha na Mwanza hapo, UDOM uloitaja yenyewe kuna miezi hakuna watu ni wakuhesabu, sasa jiji gani halina watu?
Narudia tena ukiondoa majengo ya serikali hakuna jipya hapo dodoma.
 
Haijawahi kuizidi Mwanza na haitokaa izidi Mwanza miaka yako yote utaishi dunia hii
Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population hilo halina ubishi (na hii itaendelea miakayote manake Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†).Ukija kwenye vigezo vya ubora wa mipangomiji,ubora wa miundombinu,huduma nyingi za kijamii,uwepo wa taasisi,idara +mashirika ya Serikali na kimataifa,Makao Makuu ya chama+ mihimili yote mitatu ya Serikali, Jiji la kimkakati katikati ya nchi kijiografia n.k Dom iko mbali sana kwa Mwanza yaani Mwanza haifiki hata robo ya ubora wa hivyo vigezo ...angalia mfano mmoja tu barabara ni changamoto kubwa sana Mwanza licha ya Mwanza kupewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 lakini ukienda Mwanza watu wanalaumu Serikali kwa kuwapendelea Dom mtandao mkubwa wa barabara za lami iliyopewa hadhi ya Jiji 2017.
 
Nani amekwambia Dodoma kuwa makao makuu ndio kuwa jiji kubwa kuliko Mwanza, au hujui imepewaje hadhi ya kuwa jiji, Wangefuata vigezo vya jiji Dodoma ingekuwa jiji?
 
, UDOM uloitaja yenyewe kuna miezi hakuna watu ni wakuhesabu, sasa jiji gani halina watu?
Wewe itakua MEMKWA darasa la saba si bure ndiomana hujui kuwa Vyuo Vikuu huwa vinafungwa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†. Kwani Mwanza Vyuo Vikuu kama SAUT,Bugando,CBE huwa wanafundisha mwakamzima hakuna likizo eti..๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
Kwa kukusaidia tu UDOM pekeyake inachukua wanafunzi zaidi ya elfu 40 yaani unaweza jumlisha wanavyuo wote wa Jiji la Mwanza ukawapeleka UDOM na bado nafasi ikabaki ya kutosha๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
UDOM inachukua wanavyuo na staffs zaidi ya elfu 40,hapo bado sijakutajia Vyuo vingine kama St John's,CBE,IRDP,LGTI, Don Bosco,MIPANGO,MADINI,DECCA,CAPITAL,VETA n.k Kipindi Vyuo vikiwa vimefungwa kwa kukadiria tu apo zaidi ya wanafunzi+staffs 200,000 wanaenda likizo hii ni karibia robo ya population yote ya Dom kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 (Dom ina population ya watu 700,000 +) kwahiyo mji automatically hauwezi kuchangamka kama kipindi wote wakiwepo na hii ni kawaida kwenye miji yote hasa yenye taasisi nyingi za elimu ya juu.
 
Hawa jamaa sijui huwa wanaichukuliaje mwanza hapa ni kasehemu kadogo tu ka manispaa ya ilemela na bado maeneo mengi mazuri hayajachukuliwa
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Labda uwadanganye ambao hawajawahi kufika na kuishi Mwanza. Nimeishi Mwanza kwa zaidi ya miaka mitatu naijua mitaa yote ya Mwanza usibabaishwe na picha+video ukienda kuona hali halisi ya mipangomiji+miundombinu hutoamini kama Mwanza imepewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Mimi Mwanza niliona sijui pana Harufu gani au ni Pua yangu wakuu
 
Kwanza alieandika uzi huu haijui Mwanza, na amepita linearly usagara via town mpaka Nyamhongoro, pia amejawa na wivu maana alijua Dodoma yake ipo ahead, kaja kukutana na kitu tofauti kabisa ndio akachoka na kuamua kutokwa na povuu, Kwa ushauri rudi yena mwanza tukutembeze,Dodoma ni moja ya jiji la hovyo sana Halina flavor kuwa upo jijini, jua kali, hamna sehemu za kwenda kubalizi, In short Mwanza inatembea bila ya nguvu za serikali yenu, endeleeni na Wivu wenu mpaka mtapata magonjwa ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ