Hapa ni pembeni kabisa ya jiji hebu tuweekeeni picha ya ipagala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni pembeni kabisa ya jiji hebu tuweekeeni picha ya ipagala
Mm na ww ni nan anastahili arudi shule!? Za kuambiwa changanya na zako bila unashika hata akili speaking of Dodoma as a Capital city Magufuli ndio amekuja kuhamishia makao rasmi hapa, na ndio kafanya mnavimba now he's gone, do you exactly expect there is a leader who is ready to live and stay in Dodoma!? Angalia mji wa kiserikali hapo Mtumba wanajenga kumalzia tu kwakuwa JPM ndio aliamua, miradi mingi hapa ni ya JPM.Rudi shule aisee... Aliyekwambia ujenzi wa mji Mkuu huwa unaisha nani .Abuja Nigeria ilitangazwa mji Mkuu wa Nigeria tangu mwaka 1991 na mpaka leo bado unajengwa.Hapo Dom penyewe Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu ilianzishwa tangu mwaka 1973
Okay tuseme UDOM ni hzo ghorofa 200 Magufuli city tuipe 300😅 Kisasa 400 ,Njedengwa 400 😁😁🤭 tambukareli 500 na City C 400 ni Maghorofa mbn idadi haijafikia yale ya Mwanza!?😅😅Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu😆😆.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu😆😆.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
Duh! YaisheHuwa si reply coment za vilaza kama nyie lakini ngoja nikujibu, unaijua geographical location ya hayo maeneo? Sehemu kubwa ya jiji la Mwanza ni miamba pia ni milima unataka huko wajengo ma bangalow kwwnye mstari ulionyooka, au mpangilio wa mji nini? Ulishaona miji kama Busan, miji y scandinavia ilivyo n.k
Kwa Tanzania hii narudia tena hakuna mkoa au mji wenye mansions za kutisha kama Mwanza.
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Poi
We huna unalolijua ..imebaki kuassume tu ...Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
Wewe nenda kabishane facebook ndio level zako...Mm na ww ni nan anastahili arudi shule!? Za kuambiwa changanya na zako bila unashika hata akili speaking of Dodoma as a Capital city Magufuli ndio amekuja kuhamishia makao rasmi hapa, na ndio kafanya mnavimba now he's gone, do you exactly expect there is a leader who is ready to live and stay in Dodoma!? Angalia mji wa kiserikali hapo Mtumba wanajenga kumalzia tu kwakuwa JPM ndio aliamua, miradi mingi hapa ni ya JPM.
Niambie sasa wakimalza miradi ya JPM kuna nn kingne watajenga hapa ilhali hta sshv wanajenga only bcoz Magufuli started it 😅 za kuambiwa Changanya na zako.
Nipe idadi ya maghorofa ya Mwanza Jiji (sio Mwanza Mkoa) tulinganishe na ya Dodoma Jiji. TAKWIMU za maghorofa kwa mujibu wa NBS ni za kimkoa(regional-wise) sio city-wiseOkay tuseme UDOM ni hzo ghorofa 200 Magufuli city tuipe 300😅 Kisasa 400 ,Njedengwa 400 😁😁🤭 tambukareli 500 na City C 400 ni Maghorofa mbn idadi haijafikia yale ya Mwanza!?😅😅
Hv mkuu upo serious!? Kweli Dodoma na Mwanza!? 😅Nipe idadi ya maghorofa ya Mwanza Jiji (sio Mwanza Mkoa) tulinganishe na ya Dodoma Jiji. TAKWIMU za maghorofa kwa mujibu wa NBS ni za kimkoa(regional-wise) sio city-wise
Haijawahi kuizidi Mwanza na haitokaa izidi Mwanza miaka yako yote utaishi dunia hiiDodoma iko mbali sana kuizidi Mza.
Dodoma nimeishi kote huko nakujua vyema ila bado sijaona sehemu ya kulinganisha na Mwanza hapo, UDOM uloitaja yenyewe kuna miezi hakuna watu ni wakuhesabu, sasa jiji gani halina watu?Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu😆😆.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population hilo halina ubishi (na hii itaendelea miakayote manake Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😆😆).Ukija kwenye vigezo vya ubora wa mipangomiji,ubora wa miundombinu,huduma nyingi za kijamii,uwepo wa taasisi,idara +mashirika ya Serikali na kimataifa,Makao Makuu ya chama+ mihimili yote mitatu ya Serikali, Jiji la kimkakati katikati ya nchi kijiografia n.k Dom iko mbali sana kwa Mwanza yaani Mwanza haifiki hata robo ya ubora wa hivyo vigezo ...angalia mfano mmoja tu barabara ni changamoto kubwa sana Mwanza licha ya Mwanza kupewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 lakini ukienda Mwanza watu wanalaumu Serikali kwa kuwapendelea Dom mtandao mkubwa wa barabara za lami iliyopewa hadhi ya Jiji 2017.Haijawahi kuizidi Mwanza na haitokaa izidi Mwanza miaka yako yote utaishi dunia hii
Nani amekwambia Dodoma kuwa makao makuu ndio kuwa jiji kubwa kuliko Mwanza, au hujui imepewaje hadhi ya kuwa jiji, Wangefuata vigezo vya jiji Dodoma ingekuwa jiji?Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population hilo halina ubishi (na hii itaendelea miakayote manake Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😆😆).Ukija kwenye vigezo vya ubora wa mipangomiji,ubora wa miundombinu,huduma nyingi za kijamii,uwepo wa taasisi,idara +mashirika ya Serikali na kimataifa,Makao Makuu ya chama+ mihimili yote mitatu ya Serikali, Jiji la kimkakati katikati ya nchi kijiografia n.k Dom iko mbali sana kwa Mwanza yaani Mwanza haifiki hata robo ya ubora wa hivyo vigezo ...angalia mfano mmoja tu barabara ni changamoto kubwa sana Mwanza licha ya Mwanza kupewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 lakini ukienda Mwanza watu wanalaumu Serikali kwa kuwapendelea Dom mtandao mkubwa wa barabara za lami iliyopewa hadhi ya Jiji 2017.
Wewe itakua MEMKWA darasa la saba si bure ndiomana hujui kuwa Vyuo Vikuu huwa vinafungwa😆😆. Kwani Mwanza Vyuo Vikuu kama SAUT,Bugando,CBE huwa wanafundisha mwakamzima hakuna likizo eti..😆😆😆., UDOM uloitaja yenyewe kuna miezi hakuna watu ni wakuhesabu, sasa jiji gani halina watu?
View: https://youtu.be/568ekKd0-Nk?si=3X_f9cFVrkEUSKlM
Ulimbukeni ni mzigo . kijiji hakiwezi shindana hata na manispaa ya ilemela
View: https://youtu.be/bbsjJefMN8A?si=OWTf-fO3VN1bp2XL
😆😆Labda uwadanganye ambao hawajawahi kufika na kuishi Mwanza. Nimeishi Mwanza kwa zaidi ya miaka mitatu naijua mitaa yote ya Mwanza usibabaishwe na picha+video ukienda kuona hali halisi ya mipangomiji+miundombinu hutoamini kama Mwanza imepewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000.👇👇Hawa jamaa sijui huwa wanaichukuliaje mwanza hapa ni kasehemu kadogo tu ka manispaa ya ilemela na bado maeneo mengi mazuri hayajachukuliwa
Mimi Mwanza niliona sijui pana Harufu gani au ni Pua yangu wakuuHabari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,
Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.
Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,
Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.
Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,
Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,
Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.
Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,
Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.