Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Naona unataka battle ya Mwanza na kijiji chenu cha Dodoma
Hata jina lako tu linaonesha huko sawa mkuu, nilieandika hapa ni mtu mwenye uzoefu wa majiji yote mawili kwa kuishi, ukiacha Dsm jiji linalofuta kwa ubora na uzuri kwa sasa Dodoma hii haina Ubishi mkuu Dom imejipanga hadi Ring road leo unataka kuifananisha na Jiji lenye nyumba zilizoezekwa na mawe asee??
 
Majiji gani nchi hii yamepangilika?

Dodoma ni hovyo, mji gani umepangilika kwa viwanja vya 20x20 tena mjini? Nyumba za hovyo ziko hadi mjini?
Tanzania hakuna kitu kinaitwa jiji au majiji ila kuna vijiji vilivyochangamka tu
 
Mwanzoni mwa miaka ya 1990 Mwanza ilikuwa nzuri sana, lakini sijui kuna shetani gaqni aliwapitia wakati wa upanuzi uliofanyika miaka ya 2000 hadi 2020 kwani jiji lote liliharibika sana likawa lenye mbanano mbanano tu. Watu wanajenga vijumba vya hovyo popote pale wala hawachukuliwi hatua, bali wanaita eti upimaji shirikishi.
 
DOM ni Best City in Tz kataeni mkubali japo ukwel unauma, kwa jiji lenye Hadhi ya Dodoma kwa Tz kwa sasa hamna. Na halitakaa litokee
 
Hiyo dodoma yenyewe aijapangiliwa chochote kuna makosa ya kipumbavu sana kwenye mji wa dodoma mfano ni chuo cha dodoma kimejengwa bila eneo kuwekwa level kwanza hivyo kuna miinuko na mabonde majengo yamejengwa juu ya miinuko isiyo na sababu za msingi ...dodoma barabara vime buniwa zimepinda pinda hazipo nyuzi 90⁰ hata ujenzi wa majengo mapya ayajazingatia nyuzi 90⁰...kuna ufisadi mkubwa serikalini katika watu wanao fanya mipango miji
 
Nyie dasilamu yenu imepangiliwa yote?? Ama wewe ni mgogo mkuu?
 
Nimeshangaa kwa mwanza kunyooshewa vidole na hawa madogo
 
Uzuri wa Dodoma upo kwenye nini? Kila jiji lina sehemu za makazi duni yaan slums, kwa Mwanza nje ya igogo kuna slum sehemu gani? Unajua gharama za kujenga nyumba kwenye hills na rocks, ningekuwa nabishana na mtu mwenye kuijua mwanza hapo sawa lakini wewe umejawa na chuki na upumbavu pamoja na wivu uliokithiri, hakuna jiji lenye mvuto hapa EA na central Africa kama jiji la Mwanza
 
Naona umeamua kuhukumu mwanza ulioina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…