SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Umeongea point kubwa sana mkuu.Ukiondoa dar, MWANZA inabakia kipimo Tosha kwa majiji na miji yote iliobaki, usishangae hawa jamaa kujaribu kulinganisha ingawa mimi naona Mwanza is the best.
Kabisa yani mimi nimeishi majiji yote Mwanza na Dodoma lakini dodoma itasubiri sanaaa sio leo wala keshoUmeongea point kubwa sana mkuu.
Yani hii Makulu ndio angalau, basi huko kwingne kazi wanayo 😁Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
Mm naishi Dodoma nlkuwa RockCity mwezi April, Dodoma hii kufika kwa Mwanza ile bado haswaa just imagine wamejengewa barabara za lami karibu kila mtaa na kuna zingine magari hamna ,zingne yanapita magari ya kuhesabu ilhali Mwanza, barabara hzo za mtaa na zingine ambazo bdo hazina lami ni mlundikano wa magari hadi hapo point yangu umenpata bila shaka.Kabisa yani mimi nimeishi majiji yote Mwanza na Dodoma lakini dodoma itasubiri sanaaa sio leo wala kesho
Mkuu wewe ungekaa kimya kama mshamba mmoja wa MpwaYungi ametaka kuchafua mji wako !? Ili auinue mji wake ambao bado unajitafuta!? Sisi sote ni waTz ni hii miji yote ni yetu ila hakuna kukaa kinyonge.Aisee mitanzania mijinga sana yaani inabishania majiji yalio katika nchi Yao yaani hapa ccm wanayachora tu wanasema kweli mizimbi haiishi kama mtoa thread na wenzake aisee kweli jomo Kenyatta hakukosea kuyaita maiti
Dodoma iko mbali sana kuizidi Mza.Dodoma haiwezi ku battle na Mwanza miaka 1000..
Iko mbali sana kwenye vumbi kuizd Mwanza. Yani bado mna kibarua cha kumzd Mbeya na Arusha mnarukia kwa Mwanza, Come on mzee.Dodoma iko mbali sana kuizidi Mza.
Hakuna mji wa mtu tanzania hii hayo ni majina tu yamewekwa ila yeyote anaishi popote tanzania pesa Yako tu kubishana miji huo ni ushamba wa kizamani a.k.a ukabilaMkuu wewe ungekaa kimya kama mshamba mmoja wa MpwaYungi ametaka kuchafua mji wako !? Ili auinue mji wake ambao bado unajitafuta!? Sisi sote ni waTz ni hii miji yote ni yetu ila hakuna kukaa kinyonge.
Hapa ishu sio ushindani hapa tunaelezana ukweli ....dodoma yenyewe ni kichomi kingine napo kwa hovyo tu!Taja dodoma sehemu zenye hadhi 🤣
Ndio mkuu uko sawa kbsHakuna mji wa mtu tanzania hii hayo ni majina tu yamewekwa ila yeyote anaishi popote tanzania pesa Yako tu kubishana miji huo ni ushamba wa kizamani a.k.a ukabila
Sawa sawa tumeelewanaNdio mkuu uko sawa kbs
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu😆😆.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.kDodoma kwa magorofa gani
? Ukiondoa majengo ya serikali hamna lolote hapo dodoma.
Kwa mbeya ndio unyamaze kabisaa maana haina mpangilio wowote kuzidi mwanza, kiuchumi pia mwanza iko vizuri kuliko mbeya,
Arusha hakuna jipya kabisa,
Mwanza ni Jiji namba 2 ukiondoa dar es salaam ambayo ndio namba moja kama ukibisha na hapo rudi darasani🤣🤣🤣🤣
Rudi shule aisee... Aliyekwambia ujenzi wa mji Mkuu huwa unaisha nani .Abuja Nigeria ilitangazwa mji Mkuu wa Nigeria tangu mwaka 1991 na mpaka leo bado unajengwa.Hapo Dom penyewe Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu ilianzishwa tangu mwaka 1973Ulichozungumza wameshazungumza wenzio na wamejibiwa Dodoma ina wigo mpana sana wa barabara za kiwango cha lami hilo halina ubishi kiasi kuna barabara hazina magari yanayopit, unlike kwa Mwanza barabara zote hata mbovu ni zina magari na yanapita hyo inamaanisha Mwanza inauhtaji mkubwa sana wa barabara za lami ila inapuuziwa.
Let's say barabara za Mwanza ziwekwe km za Dodoma, kuna watu mtajinyonga aseeh 😅
Moreover, Mwanza ni kubwa na pana kias hata sehemu zisizo na tarmac roads ni zimechangamka kuzd sehemu za Dodoma zilizo na lami.
Hapa sasa ni wanaopambaniwa na serikali vs wanaojipambania 😁 na hapo sasa siku serikali iktosha kujenga hzi nyumba zao na wakaona wamemaliza kuweka lami vibarabara vyenu ndio mtasimamia hapo hapo unlike Mwanza😁 soon kunakuwa na Manispaa 3 nyie ni Manispaa 1 hebu peleka uchafu hko mzee 😁
Dom mitaa ambayo unaweza kuiita uswahilini haizidi mitano ...kuna Mkalama/Makulu,Chaduru,Kizota na Chang'ombe huko ndio unaweza kusema ni uswazi.Mitaa mingine yote iliyobaki imepimwa na kupangiliwa vizuri kuanzia miundombinu hadi ujenzi wa nyumba+mapaa ya nyumba yote yana rangi Moja huwezi kukuta slums kama za MwanzaTaja dodoma sehemu zenye hadhi 🤣
Kwenye majengo ya wizara na taasisi hilo hakina ubishi lakini kwenye uwekezaji sector binafsi Dodoma ikashindane na NzegaDar, Arusha, Mwanza kote ni uswazi... lakini haimaanishi zimezidiwa na Dodoma kiuchumi (Arusha na mwanza inawezekana zishiapitwa na Dom)...
Ila kwenye suala zima la mipango miji na upya wa majengo haina ubishi hakuna sehemu bongo sasa hivi inazidi Dodoma.
Safi sana mwamba, unajua hawa vilaza wanapenda kutafuta umaarufu kupitia majiji makubwa tukuka yenye bilinge mithili ya Jo' berg.🤣🤣🤣🤣🤣, tena kijiji haswa Dodoma nimeishi na Mwanza nimeishi, hawa malimbukeni wanataka kuleta battle za hovyohovyo, Dodoma inatakiwa ibatle na akina arusha,tanga sababu hata mbeya bado Dodoma haiwezi ipata
Mwanza kuna mtaa wa slum zaidi ya mabatini, unashindwa kutofautisha slum na makazi yaliyokosa mpangilio au makazi duni.Dom mitaa ambayo unaweza kuiita uswahilini haizidi mitano ...kuna Mkalama/Makulu,Chaduru,Kizota na Chang'ombe huko ndio unaweza kusema ni uswazi.Mitaa mingine yote iliyobaki imepimwa na kupangiliwa vizuri kuanzia miundombinu hadi ujenzi wa nyumba+mapaa ya nyumba yote yana rangi Moja huwezi kukuta slums kama za Mwanza
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri PointMwanza kuna mtaa wa slum zaidi ya mabatini, unashindwa kutofautisha slum na makazi yaliyokosa mpangilio au makazi duni.