Mwanza kutamu asikwambie mtu

Nimepita hapo olevel na chuo Malimbe ninapajua vizuri
Wewe kumbe hujui raha ya miji, raha ya miji utembelee maeneo classic sio kushinda shule. Sasa kwa hela ya chuo lile boom (500k kwa miezi miwili) unalijuaje jiji?

Hata anaekaa Dar hawezi kueleza uzuri wake ikiwa ataenda kushinda ndani au uswazi huko.
 
Hahahahà haya karibu Mwanza
 
Wewe kumbe hujui raha ya miji, raha ya miji utembelee maeneo classic sio kushinda shule. Sasa kwa hela ya chuo lile boom (500k kwa miezi miwili) unalijuaje jiji?

Hata anaekaa Dar hawezi kueleza uzuri wake ikiwa ataenda kushinda ndani au uswazi huko.
Mimi shemeji yanu ujue
 
Kenyatta road(Shinyanga road),Nyerere road(Musoma road) na Airport road hizo ndizo barabara za Mwanza
Achakua mjinga[emoji1] nyegezi to luchelele,pansiasi to kiloleni,kona ya bwiru to kitangiri,furahisha to bwiru via kitangiri,kitangiri to ibanda kumbuka hapa kuna keep left[emoji1],sabasaba to busweru,nyakato kijereshi to wilayani now wanajenga hadi kahama ilalila,nata to mahina via bugando,mkuyuni to butimba,buzuruga to nyasaka kiloleni,barabara ya elemela tunza Beach Malaika Beach hadi kona ya igombe[emoji1],kilimahewa to isamilo,lake hadi mji mwema,buzuruga to mwanachi,nyakato sokoni to machinjion [emoji3] nk..... kiongoz acha kua mjinga tembea uone
 
Dar ni mwisho na mkoa unaofuata ni ...
 
aidha utakuwa ni konda wa daladala ama afisa wa Tanroad🤣😂😂
 
aidha utakuwa ni konda wa daladala ama afisa wa Tanroad[emoji1787][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1] nmezaliwa mwanza elimu yangu ya chekechea hadi advance ni mwanza mwanza tu kwa sasa nipo dodoma

Nmezaliwa igoma ndama,nimekulia Ghana kona ya bwiru jirani na the dreams na Ms hoteli so chocho zote za mwanza mjini hakuna nisiyoifahamu [emoji1]


Na akitokea mtu kupotosha Uma ni lazima nimpe somo tukufu
 
Umemaliza
 
Sasa wewe unaongelea raha za dar utaje huko uswazi.

Kuna maeneo na maeneo.

Ni kama South Africa kulivyo ja features za kimasikini sana na za kitajiri sana..utamu unakuwa pale pale
Nlienda SA aisee nikinda kwenye malls mpaka shingo ilikuwa inauma, SA kuna chupi zimekwenda shule vibaya mno, kurud mjin ile natua kipawa yan wanawake nlikuwa nawaona wanamavichwa makubwa alafu sijui wapoje wapoje...
 
Hizo siyo barabara hiyo ni mitaa,ili ufike butimba lazima utumie kenyatta road ili ufike buzuruga lazima utumie nyerere road ili ufike tunza beach lazima itumie airport road,wewe unataja mitaa badala ya barabarana,kona ya bwiru kitangiri huo ni mtaa jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…