Mwanza kutamu asikwambie mtu

Yaani unaijua mwanza hadi raha ,,usimlazimishe aelewe ,yeye akomae na kijiji chake ..af mazoea yamezidi sasa ,, tulianza na Arusha ,hadi akatulia mwenyw ,,ikaja Dodoma juzi hapa mazoea kibao ,,sa hv kijiji cha mbeya kimeanza mazoea na wakubwa ... ifike wakati tusibishane nao wanatuenjoy tu
 
Wewe umekuja na hizi picha za ajabu,mwenzako nilimuuliza ataje highway za mwanza akaishia kusema ambazo ni mitaa wewe umekuja na hizi picha unataka nilinganishe na nini mbeya
unauliza highways amekutajia bado huelewi ,yaani barabara au maana ya highway wew unaelewa nini ,,,,,,ngoja nikufafanulie kidogo high way njia kuu
Makongoro avenue (km 10) four lanes
Musoma road (km 20 within city) 10 km being three lanes nata to Nyakato mwatex .10 km being two lanes ,mwatex to kisesa
shinyanga road (km 25 within city) two lanes
Sabasaba road (km 9) ni highway ya kwenda makao makuu ya wilaya ya ilemela
Pasiansi road (km 7) ni highway inayoenda nyasaka,maduka tisa na buzuruga stendi
Kisesa bypass (km 17) ni high way ya kwenda usagara bila kupita katikati ya mji
Nyakato to kahama (km 10) ni high way ya kwenda makao makuu ya wilaya ilemela , kupitia gedeli ,buswelu,kahama,ilalila

Wurzbug road (km 15 ) town to mahina via Bugando,bugarika,igelegele ,mahina kati.
Nimekutajia kwa uchache
 
Nitajie za huko mbeya
 
Hii map japo ya zamani ,ila itakupa picha kidogo ...
 
Mwisho .ni game changer project inayoproposiwa miaka kadhaa ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…