Mwanza kutamu asikwambie mtu

Any way ukipita na taswira ya ugeni mahala popote hapa nchini watu watakutazama tu, all in all karibu Mwanza
 
Rock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko ๐Ÿฅฐ

Nitarudi tena ๐Ÿ”ฅ
Hyo malaiko usiseme aisee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nilikunywa kahawa pale kwa elfu 5 wanapika hapo kwa hapo fasta Kama ulaya uwanja mkubwa wafanyakazi kibao yaani kuna room zile ukienda waterfall tulilala sijajua ngapi maana tulipiwa na taasisi ni kuzuri sijaona

Huku reception kuna visanduku vina madini Kama urembo niliona Kama utalii bonge la hoteli jioni tukaja huku kweny band ukumbi Kama uko ufukweni viti viupr tupi na ule upepo ni balaa
 
Antelope kweli? Tilapia kweli? Nilikuepo kwenye match ya simba na Yanga sikuona kiivo karibu ze girini site
Kweliโ€ฆ
Antilope wana menu amazing , patulivu mnooo.. hakuna jam hata kwenye swimming pool

Tilapia the sameโ€ฆ

Sijui kilichokushangaza.
 
Sio kama uko Ufukweniโ€ฆ ni ufukweni pale๐Ÿ˜‚
Kuna hii restaurant ya chini, unapata msosi huku unapigwa na wimbi la maji โ€˜yan unasikia sauti ya wimbi mubashara.

Ile reception yao ni ๐Ÿ”ฅ
Parking ๐Ÿ”ฅ
Bar kule
Yan mule ndani kote ni pazuriii
 
Ni kweli......nikiendaga Mwanza huwaga sipendi kufikia sehemu nyingine yoyote zaidi ya Nyegezi mana ndo huwaga najipimia tu Sato.
 
So huko ni full misambwanda
 
Rock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko [emoji3059]

Nitarudi tena [emoji91]

umesahau diamond pale kona ya bwiru
 
So wadada wenye fito wakihamia huko...miguu inabadilika na kuwa ya bia
 
Mm Nina rfk angu alitoka mwanza Kuja kusoma Arusha

Jamaa alinimbia kuwa Arusha Ni nyoko mwanza haioni ndani bado sijafika ila bado. Naamini Arusha is the best

By the way toa ujatoa mbususu kimasiara
Dogo Mimi kote huko nimeishi nakwambia hivi TZ majiji ni mawili tu..
Dar na Mwanza hayo mengineyo ni affiliated municipals tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ