Kabisa mkuuKiufupi Tanzania majiji ni mawili tu Dar na Mwanza.. Hayo mengine ni affiliated municipals tu.
Dogo Mimi kote huko nimeishi nakwambia hivi TZ majiji ni mawili tu..
Dar na Mwanza hayo mengineyo ni affiliated municipals tu.
Iyooooooo Green city stand up!Wanakuja watu wa Arusha na mbeya kubisha
Mkuu itakuwa sikuona thread yako samahani next time nicheki nipo jirani na Bundesliga bar hapa ndo sebuleni kwanguSasa mkuu juzi nimeweka uzi kwamba nakuja mwanza..wewe ulikuwa wapii usinielekeze pa kwenda??
Hahahahaha kwahicho kicheko Manka wa Kibosho nishakujua tayariii...🤣🤣🤣 umenifananisha mkuu
Mimi nilijipeleka mwenyewe
Kwahiyo uzuri kwa jiji ni baridi nenda makete, njimbe au mafinga.Nimewahi kuishi Mwanza zaidi ya miaka 3, kwa sasa Niko Arusha. Arusha is my best City...kwa sasa tunaenjoy baridi ... ARUSHA IS MY 🏙️
Vipi Arusha kuwa sehemu ya kitalii?Mwanza inachokizidi Arusha ni kuwa na ziwa, mawe na samaki basi.
Wanakuja watu wa Arusha na mbeya kubisha
Naruhusiwa kuweka na picha ya kusindikiza uzi wako?Poa mkuu
Acha utotoAntelope kweli? Tilapia kweli? Nilikuepo kwenye match ya simba na Yanga sikuona kiivo karibu ze girini site