Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mwanza kutamu asikwambie mtu

Kweli Dunia ndogo sana.. Wewe ndo ulipelekwa Mwanza na yule Afisa wa Halmashauri kule Masasi. Yule jamaa anajua kuhonga na kutreat mwanamke. Hongera sana..
🤣🤣🤣 umenifananisha mkuu
Mimi nilijipeleka mwenyewe
 
Sasa mkuu juzi nimeweka uzi kwamba nakuja mwanza..wewe ulikuwa wapii usinielekeze pa kwenda??
Mkuu itakuwa sikuona thread yako samahani next time nicheki nipo jirani na Bundesliga bar hapa ndo sebuleni kwangu
 
Back
Top Bottom