Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,070
- 1,083
Hivi kwa usafiri wa anga ni wastani wa bei gani kufika Mwanza?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any way ukipita na taswira ya ugeni mahala popote hapa nchini watu watakutazama tu, all in all karibu MwanzaDahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.
Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema arusha...arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii mwanza.
Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.
Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka??
Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.
Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza... hutajutia pesa yako.
Hyo malaiko usiseme aisee 😅😅😅 nilikunywa kahawa pale kwa elfu 5 wanapika hapo kwa hapo fasta Kama ulaya uwanja mkubwa wafanyakazi kibao yaani kuna room zile ukienda waterfall tulilala sijajua ngapi maana tulipiwa na taasisi ni kuzuri sijaonaRock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko 🥰
Nitarudi tena 🔥
Kweli…Antelope kweli? Tilapia kweli? Nilikuepo kwenye match ya simba na Yanga sikuona kiivo karibu ze girini site
Sio kama uko Ufukweni… ni ufukweni pale😂Hyo malaiko usiseme aisee 😅😅😅 nilikunywa kahawa pale kwa elfu 5 wanapika hapo kwa hapo fasta Kama ulaya uwanja mkubwa wafanyakazi kibao yaani kuna room zile ukienda waterfall tulilala sijajua ngapi maana tulipiwa na taasisi ni kuzuri sijaona
Huku reception kuna visanduku vina madini Kama urembo niliona Kama utalii bonge la hoteli jioni tukaja huku kweny band ukumbi Kama uko ufukweni viti viupr tupi na ule upepo ni balaa
Ni kweli......nikiendaga Mwanza huwaga sipendi kufikia sehemu nyingine yoyote zaidi ya Nyegezi mana ndo huwaga najipimia tu Sato.Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.
Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema arusha...arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii mwanza.
Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.
Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka??
Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.
Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza... hutajutia pesa yako.
So huko ni full misambwandaDahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.

Rock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko [emoji3059]
Nitarudi tena [emoji91]
Haswaaaa na huwaga nafikia pale KUMALIJA HOTELKwelii?
Black beauty kibaoSanaa sema ni weusi asilimia kubwa
Labda ablock mjeda IT 😂😂 .. we tuma hela bwanaaa unaogopa nini?😂 Matapeli bhana yanalugha nzuri ukishatuma tu utajua what is blocking!
Naogopa kutokuogopa..😂Labda ablock mjeda IT 😂😂 .. we tuma hela bwanaaa unaogopa nini?
Aisee mbeya inatofauti na mtwara pako overrated sanaWanakuja watu wa Arusha na mbeya kubisha
Kweli Dunia ndogo sana.. Wewe ndo ulipelekwa Mwanza na yule Afisa wa Halmashauri kule Masasi. Yule jamaa anajua kuhonga na kutreat mwanamke. Hongera sana..Senkyùu
Dogo Mimi kote huko nimeishi nakwambia hivi TZ majiji ni mawili tu..Mm Nina rfk angu alitoka mwanza Kuja kusoma Arusha
Jamaa alinimbia kuwa Arusha Ni nyoko mwanza haioni ndani bado sijafika ila bado. Naamini Arusha is the best
By the way toa ujatoa mbususu kimasiara