Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849][emoji849][emoji849]Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.
Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema arusha...arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii mwanza.
Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.
Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka??
Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.
Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza... hutajutia pesa yako.
Akili yako haiko sawa dingiiiAcha utoto
Unafananisha mwanza na utopolo wa mbeya?
Hivi we ni kichaa au una tania?Akili yako haiko sawa dingiii
Hizo ugoro unavuta temana nazo dingiii zitakuharibuHivi we ni kichaa au una tania?
Yaani unaifananisha Mwanza na Mbeya?
Kama ni ugoro za nyegezi stendi temana nazo vuta hata za kishiri dingiii,ushawahi kuja green city ww au unaona tu kwenye tv? Dingiii temana na hizo ugoroooHivi we ni kichaa au una tania?
Yaani unaifananisha Mwanza na Mbeya?
Hivi pale kumalija hotel ,, chumba ni shngap kulalaHaswaaaa na huwaga nafikia pale KUMALIJA HOTEL
Hivi pale kumalija hotel ,, chumba ni shngap kulala
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hivi pale kumalija hotel ,, chumba ni shngap kulala
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Chumba kizuri pale ni 20k......room kubwa na kitanda kikubwa plus heater ya maji ya moto
Tako la mbwa wewe fala mpaka naongea hivi ni jana tu nilikuwa mbeya hamna kitu cha maanaKama ni ugoro za nyegezi stendi temana nazo vuta hata za kishiri dingiii,ushawahi kuja green city ww au unaona tu kwenye tv? Dingiii temana na hizo ugorooo
Endelea kunywa bingwa hapo universal. Marafiki, carnival, wali samaki, na syukulaHizo ugoro unavuta temana nazo dingiii zitakuharibu
Eti cask? Mdogo wangu kumbe ww bado sana,cask nae sehemu ya kuongelea kumbe bado hujafika mbeya ww,unazungumzia cask kweliiiiiiTako la mbwa wewe fala mpaka naongea hivi ni jana tu nilikuwa mbeya hamna kitu cha maana
Nimeenda mwailubi, nasoma, mbeya pazuri mpk city pub huwez fananisha hata kidogo na the cask hata nusu
Next time ukifika mbeya nitafute njoo kwanza mpaka kyela zen nkupeleke mbeya mjini uone viwanjaEndelea kunywa bingwa hapo universal. Marafiki, carnival, wali samaki, na syukula
Ntajie viwanja vitano vya maana mbeyaNext time ukifika mbeya nitafute njoo kwanza mpaka kyela zen nkupeleke mbeya mjini uone viwanja
Bado hujatoa ushuhudaAsee kutamu sana na kuzuri pia
Hivi wewe umeona cask ndiyo kiwanja kweli,we chalii cask huo upuuzi gani! Hebu nitajie viwanja vingine tofauti na huo upuuzi wa cask?Ntajie viwanja vitano vya maana mbeya
Unakaa kyela matema kijijini huko unataka kusimulia habari za mbeya eti kuna viwanja vya maana
Pambana na mafuriko huko ipinda kenge wewe! Yaani carnival na marafiki ndio viwanja? Kwel nmeamin aliesema wanyakyusa wa kyela hawana tofauti na wahaya
dar inanuka kaharufu flani hivi amaizing kabaya😷Kweli si kila ukipendacho duniani waweza kukipata.
Nikiwa mdogo nilikuwa nina ndoto sana za kuishi Zoo, Moro na A town, maajabu sasa ya dunia niko Dar, lakini napaona pa kawaida saaaana kama vile uswazi.
Sinza, Magomeni, Keko, ni pa kawaida sana na nyumba zimebanana, pia mvua inyeshe wala isinyeshe ni shida tupu.
Ila Masaki, Mwenge Mlalakuwa, Osterbay, Mbezi, Kimara, Goba pamekaa vizuri sana kuishi.
Jibu kwanza swali langu then nikujibu lakoHivi wewe umeona cask ndiyo kiwanja kweli,we chalii cask huo upuuzi gani! Hebu nitajie viwanja vingine tofauti na huo upuuzi wa cask?