Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mwanza kutamu asikwambie mtu

Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.

Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema arusha...arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii mwanza.
Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.
Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka??
Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.
Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza... hutajutia pesa yako.
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ahsante kwa taarifa, ila kwangu sikuuona hivyo... kawaida sana...
 
Ila huu mji bwana una utamu wake jaribuni kutembelea kwenye jukwaa la photos, Mwanza gallery
JamiiForums-872041390.jpg
JamiiForums1293826577.jpg
 
Kama ni ugoro za nyegezi stendi temana nazo vuta hata za kishiri dingiii,ushawahi kuja green city ww au unaona tu kwenye tv? Dingiii temana na hizo ugorooo
Tako la mbwa wewe fala mpaka naongea hivi ni jana tu nilikuwa mbeya hamna kitu cha maana

Nimeenda mwailubi, nasoma, mbeya pazuri mpk city pub huwez fananisha hata kidogo na the cask hata nusu
 
Tako la mbwa wewe fala mpaka naongea hivi ni jana tu nilikuwa mbeya hamna kitu cha maana

Nimeenda mwailubi, nasoma, mbeya pazuri mpk city pub huwez fananisha hata kidogo na the cask hata nusu
Eti cask? Mdogo wangu kumbe ww bado sana,cask nae sehemu ya kuongelea kumbe bado hujafika mbeya ww,unazungumzia cask kweliiiiii
 
Next time ukifika mbeya nitafute njoo kwanza mpaka kyela zen nkupeleke mbeya mjini uone viwanja
Ntajie viwanja vitano vya maana mbeya

Unakaa kyela matema kijijini huko unataka kusimulia habari za mbeya eti kuna viwanja vya maana

Pambana na mafuriko huko ipinda kenge wewe! Yaani carnival na marafiki ndio viwanja? Kwel nmeamin aliesema wanyakyusa wa kyela hawana tofauti na wahaya
 
Ntajie viwanja vitano vya maana mbeya

Unakaa kyela matema kijijini huko unataka kusimulia habari za mbeya eti kuna viwanja vya maana

Pambana na mafuriko huko ipinda kenge wewe! Yaani carnival na marafiki ndio viwanja? Kwel nmeamin aliesema wanyakyusa wa kyela hawana tofauti na wahaya
Hivi wewe umeona cask ndiyo kiwanja kweli,we chalii cask huo upuuzi gani! Hebu nitajie viwanja vingine tofauti na huo upuuzi wa cask?
 
Kweli si kila ukipendacho duniani waweza kukipata.

Nikiwa mdogo nilikuwa nina ndoto sana za kuishi Zoo, Moro na A town, maajabu sasa ya dunia niko Dar, lakini napaona pa kawaida saaaana kama vile uswazi.

Sinza, Magomeni, Keko, ni pa kawaida sana na nyumba zimebanana, pia mvua inyeshe wala isinyeshe ni shida tupu.

Ila Masaki, Mwenge Mlalakuwa, Osterbay, Mbezi, Kimara, Goba pamekaa vizuri sana kuishi.
dar inanuka kaharufu flani hivi amaizing kabaya😷
 
Back
Top Bottom