Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Hujaelewa Point yangu ndugu, huyo jamaa inasadikika alifanya tukio hilo wenyeji wa Mwanza tunafahamu, mazingira ya kesi na mwenendo unatia shaka.

Njoo Mwanza Leo uulize habari zake halafu kama utarudia kuandika hapa wewe ndio unatakiwa utulie .
Hii kesi ya J'4 ni maarufu na inafahamika. Upo sahihi mkuu.
 
Ni sawa acha achiwe huru, wewe ni nani uingilie mahakama, kwanza unamfungaje tajiri akili za kimwendawazimu hizo
 


Court name
Court of Appeal of Tanzania
Registry
Court of Appeal Mwanza Registry
Case number
Criminal Appeal 204 of 2020

Jumanne Mahende Wang'anyi vs Republic (Criminal Appeal 204 of 2020) [2021] TZCA 725 (03 December 2021);​

Media neutral citation
[2021] TZCA 725
Coram

Mkuye, J.A.


Kwariko, J.A.


Maige, J.A.


Source : Jumanne Mahende Wang'anyi vs Republic (Criminal Appeal 204 of 2020) [2021] TZCA 725 (03 December 2021); | Tanzlii
 
Ingependeza zaidi hao walio uwawa, wakawa ndugu zako wa damu au kaka zako, au wazazi wako, hapo nadhani ungenielewa.
 
Labda nikupe mfano,mwaka 2020 kuna muuza madawa ya kulevya maarufu Dar anaitwa AYOUB KIBOKO na mkewe walifungwa miaka 20 Jela na ile Mahakama ya Mafisadi na Makosa ya Uhujumu Uchumi kwa kukutwa na Gram 16 za Heroin nyumbani kwako,Jaji aliyewafunga anaitwa Jaji Lilian Mashaka.Wakakata Rufaa Mahakama ya Rufaa,mwezi Machi mwaka huu Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa Jaji Sam Rumanyika,Jaji Gerald Ndika na Jaji Ignas Kitusi liliwaachia HURU wote wawili na sababu ni zifuatazo:
1)Majaji hawa walisema ni kweli AYOUB na Mkewe walikutwa na Madawa ya Kulevya nyumbani kwako hivyo hawana shaka na jambo hilo,lakini he taratibu za kuwafanyia Upekuzi zilifuatwa ipasavyo kama SHERIA ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai inavyoelekeza??
 
Ndio maana mahakama inatakiwa ijielekeze vizuri kuhusu swala la Technicality na Irregularity .

Watu wanao fanya watoto wa wenzao mazezeta na kuwapotezea ramani za maisha kama hao huku Yao ni kupigwa risasi hadharani bila Maelezo .
 
Wakili ni afisa wa mahakama, lakini mtuhumiwa pia ana haki kisheria kujitetea kwa maana ya kuwakilishwa na Wakili. Ni kazi ya mahakama to prove beyond the reasonable doubts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…