zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Plea bargain ilikua kipindi Cha JPM? Mtu anafanya ufisadi weee akikamatwa kesi ya uhujumu uchumi analipa fine tu anaachiwa. Sasa unadhani kwa mtu masikini plea bargain angewezaje? Bado justice ya nchi yetu Ina favor wenye Hela tokea hata JPM yupo. Hata wakili tu mtu hawezi mlipa unadhani utashinda kesi? Mwenzako kaweka kibatala unadhani utashinda kwa wanasheria Hawa wa serikali?Mkome!!! si mlikua mnasema mwendazake ni dikteta, safi sana mahakama pesa mbele tu...mtanikumbuka!!!