HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mknd weweMajaji was bongo hovyo sana! Magufuri fufuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mknd weweMajaji was bongo hovyo sana! Magufuri fufuka
Mahakama imemwachia huru leo, baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Utatutangazia kama Nyerere alivyosemaga.."Malaya mmoja tumeshakamata"Rushwa inaanzia polisi! Kwenye kesi hizi za mauaji wakishalamba rushwa wanavuruga sana ushahidi. Tangu wamevuruga kesi ya kuuawa kwa dadangu sina hamu kabisa! Ushahidi ulikuwa wazi kabisa mpaka simu waliikamata yenye mawasiliano ya kuua na mtuhumiwa walipomkamata alikiri kuua. Sasa jamaa amewekwa ndani muda wa miaka minne huku nyuma polisi wakavuruga ushahidi wote hata haya maelezo wameyaficha mpaka mtuhumiwa amekuja kuachiwa! IPO siku nitashughulika na mmoja mmoja! Kila nitakapommaliza mmoja nitasema bado mmoja mpaka waishe! Polisi pumbavu kabisa!
Mpaka kuhukumiwa kifo, leo ndio unaamka na mazingira yaliyopelekea mauaji?!!Unajua scenario mpaka akaua hao watu?
Kaachiwa na dpp, ambaye ni mtu tu anayeweza kuhongwa akadai hana nia ya kuendelea na kesi. Hakuna mahakama iliyomwachia huru.Nimekuuliza sio ugomvi !! Wangapi wanaachiwa ? Kuna mengi mzee na kuwekwa jela kwa mda ni kama sheria hata ukiua jambazi unaweza kushikiliwa kwa muda then ndo unaachiwa.
Fuatilia sana hizo mambo wengine majambazi.
Ni kweli kabisa ulivyonukuu DPP ameamua kesi hii iliyoamriwa irudiwe kusikilizwa upya DPP ameamua kuachana nayo kwa sasa.Kaachiwa na dpp, ambaye ni mtu tu anayeweza kuhongwa akadai hana nia ya kuendelea na kesi. Hakuna mahakama iliyomwachia huru.
Wew hii sabab umetoa wap?[emoji16]Hakuna Cha scenario aliwalamba risasi wote wawili kisa wanamcheleweshea Deni lake.
Hamna haki dunia hii😥😥Kaachiwa na dpp, ambaye ni mtu tu anayeweza kuhongwa akadai hana nia ya kuendelea na kesi. Hakuna mahakama iliyomwachia huru.
AsanteMAAMUZI YA JAJI K.N ROBERT YA TAREHE 31 MAY 2022 KUWA HUKUMU YA AWALI KATIKA KESI IPITIWE UPYA. HUKUMU INA KURASA 6.
IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA IN THE DISTRICT REGISTRY OF MWANZA AT MWANZA CRIMINAL SESSIONS CASE NO.131 OF 2017
REPUBLIC
VERSUS
JUMANNE MAHENDE WANG'ANYI
RULING 30th & 31st May, 2022 ROBERT,J:-
This matter came up for hearing before me following an order for a fresh trial made by the Court of Appeal in Criminal Appeal No.204 of 2020.
At the outset, the learned counsel for the accused, Mr.Peter Kibatala, submitted that the proceedings of this case having been nullified by the Court of Appeal, this case needs to start afresh by plea taking and preliminary hearing before calling witnesses to testify. He expounded that, prior to an order directing for the case to be tried afresh the Court of Appeal made a finding that the High Court Proceedings were vitiated and invoked its revisional powers to nullify the proceedings and1 ..........
judgment of the High Court, quashed conviction and set aside the sentence there of. He argued that, proceedings of the High Court having been nullified, the trial of this case needs to commence from the start by plea taking and preliminary hearing before hearing of witnesses testimony.
To support his argument, he made reference to th ecase of Hsu ChinTai and another vs The Republic, Criminal Appeal No.250 of 2012, CAT at Daressalaam (unreported) at page 14 and 15 where the Court of Appeal decided that a trial commences when an accused person appears and pleads beforea competent Court. In response, Ms.Dorcas Akyoo, learned Senior State Attorney, had a different view to that of Mr. Kibatala. She submitted that, the decision of the Court of Appeal which nullified the proceedings of this case resulted from an irregularity on summing up to assessors and the Court of Appeal decided that the case should be tried afresh by a different Judge and a new set of assessors. She maintained that, since under section 265 of the Criminal Procedure Act trials before the High Court are conducted with the aid of assessors when witnesses are called to testify, then an order by the Court of Appeal for a fresh trial with a new set of assessors was intended to sta.......
........ This Court is also aware that, preliminary hearing proceedings are part and parcel of the trial case(see Shabani William vs The Republic, Criminal Appeal No.358 of 2014, CAT at Dodoma (unreported) and Juma Lyamwiwe vs Republic, Criminal Appeal No.42 of2001). Hence, an order for are trial of the case, unless directed otherwise, includes preliminary hearing proceedings.
Therefore, an order for afresh trial needs to start from the plea taking (See the case of Hsu Chin Tai (supra)). In the end, I find merit in the argument by the learned counsel for the accused. Consequently, I direct that this case starts afresh from the stage of plea taking and all the subsequent procedures under the relevant law will be followed accordingly.
It is so ordered.
K.N Robert Judge
31/5/2022
READ MORE : Source : Republic Vs Jumanne Mahende Wang'anyi (Criminal Sessions Case 131 of 2017) [2022] TZHC 9807 (31 May 2022); | Tanzlii
Baba yako angetumia kondomu, mjinga kama wewe usinge zaliwaHuyu kibatala Hanatofauti na Takataka, ndio maana Mzee Magu alikuwa hawataki Hawa wapumbavu
Kwasababu ya wakili watu wanaruhisiwa kufanya mauaji?Baba yako angetumia kondomu, mjinga kama wewe usinge zaliwa
Hujui umuhimu wa Wakili? Kazi yake ni kumtetea mteja asifungwe
Basi hili ni kosa kubwa kabisa. Rushwa inaweza kuwa imetumika.Hi kesi Mahakama ya Rufaa iliamuru ianze upya. Sasa nadhani kwenye process za kuanza nadhani Kuna mazungumzo yalifanyika baina ya mtuhumiwa na familia ya Marehemu wote ndipo wakakubalina fidia, ndio maana kesi imeisha haijafunguliwa Tena.
Jamaa baada ya kugundua Mambo yameumana aliwaita ndg wa marehem akawaambia nawapa 600M kila mmoja afu huku serikalini niachieni Mimi ntamaliza!! Ndg wa marehem wakakomaa asulubiwe asulubiweSasa hata akikaa huko ndo watafufuka?
Acha watu waendelee na biashara aisee.
Hapo dawa nzuri ni yeye naye kuuliwa
Hizi habari huzijui !! Uliza ndg, alishatolewa condemn baada ya mahakam ya rufaa kuamua kesi yake ianze upya!! So aliyeipeleka kesi mahakamani sio condemn Ni mahabusu mwenye tuhuma za mauajiBADO SIJAELEWA
Mshtakiwa - at this point muuaji, msubiri kunyongwa, condemned, kijela jela KONDEM - kakata rufaa.
Ina maana kesi anaeileta mahakamani ni KONDEM
Serikali itasemaje haina nia ya kuendelea na kesi, wakati kesi kaianzisha KONDEM ????
Hujawahi kupata Kesi hivyo ni vema utulie,katika watu ambao HAWAWAPENDI MAWAKILI wa kujitegemea kama hao kina Kibatala ni Askari Polisi,mfano katika wale Askari wanaotuhumiwa kumuua kijana wa Madini Mtwara,kuna rafiki zangu wawili tena ni Senior Officers miongoni mwa wale 7 na walikuwa wanawachukia sana MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,lakini tangu wakamatwe na kuwekwa Mahabusu sasa hivi ndugu huku nje wanahaha kutafuta Wakili mzuri wa kujitegemea ili awatetee Mahakamani,hivyo fanya jambo lolote lakini Jela ni mahali pabaya asikwambie mtu,wewe unadhani Sabaya alikuwa anawapenda MAWAKILI WA KUJITEGEMEA enzi alipokuwa DC??si alikuwa anawaona takataka tu,lakini leo hii Mpira umegeuka yeye ndie anawategemea MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,acha masihara ya Jela nduguKwasababu ya wakili watu wanaruhisiwa kufanya mauaji?
Hujaelewa Point yangu ndugu, huyo jamaa inasadikika alifanya tukio hilo wenyeji wa Mwanza tunafahamu, mazingira ya kesi na mwenendo unatia shaka.Hujawahi kupata Kesi hivyo ni vema utulie,katika watu ambao HAWAWAPENDI MAWAKILI wa kujitegemea kama hao kina Kibatala ni Askari Polisi,mfano katika wale Askari wanaotuhumiwa kumuua kijana wa Madini Mtwara,kuna rafiki zangu wawili tena ni Senior Officers miongoni mwa wale 7 na walikuwa wanawachukia sana MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,lakini tangu wakamatwe na kuwekwa Mahabusu sasa hivi ndugu huku nje wanahaha kutafuta Wakili mzuri wa kujitegemea ili awatetee Mahakamani,hivyo fanya jambo lolote lakini Jela ni mahali pabaya asikwambie mtu,wewe unadhani Sabaya alikuwa anawapenda MAWAKILI WA KUJITEGEMEA enzi alipokuwa DC??si alikuwa anawaona takataka tu,lakini leo hii Mpira umegeuka yeye ndie anawategemea MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,acha masihara ya Jela ndugu
Kinachoumiza kwenye kesi kama hizi, mawakili wenye weledi wanaenda kutetea wahalifu .Hujawahi kupata Kesi hivyo ni vema utulie,katika watu ambao HAWAWAPENDI MAWAKILI wa kujitegemea kama hao kina Kibatala ni Askari Polisi,mfano katika wale Askari wanaotuhumiwa kumuua kijana wa Madini Mtwara,kuna rafiki zangu wawili tena ni Senior Officers miongoni mwa wale 7 na walikuwa wanawachukia sana MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,lakini tangu wakamatwe na kuwekwa Mahabusu sasa hivi ndugu huku nje wanahaha kutafuta Wakili mzuri wa kujitegemea ili awatetee Mahakamani,hivyo fanya jambo lolote lakini Jela ni mahali pabaya asikwambie mtu,wewe unadhani Sabaya alikuwa anawapenda MAWAKILI WA KUJITEGEMEA enzi alipokuwa DC??si alikuwa anawaona takataka tu,lakini leo hii Mpira umegeuka yeye ndie anawategemea MAWAKILI WA KUJITEGEMEA,acha masihara ya Jela ndugu