Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Ila mwisho atatoka tu..
Hukumu ya kweli anatoa Mungu tu hao wasambaa watachoka labda wamroge tu
Wasambaaa htr, hata kama atatoka ila wata mstress sana,
Wasambaa,wapare, wahaya, warangi
Kwa kesi haoooo balaaa

Ova
 
Hatukubali, hii hukumu na mwenendo wote wa kesi uwekwe wazi,, waziri wa sheria fuatilia hii..
 
Ndiyo, scenarios huwa zipo.
Hajui umafia kweny kutapeliana,uwizi au mtu akuchukulie mke ..Watu wamapigwa chuma wakafie mbele na hamna kesi wala nn.

Mwambie aende aende huko migodini brother wangu alipigwa risasi miaka ya 2002 hata huyo jamaa kuitwa kuitwa kituo cha polisi hamna na jamaa ni tajiri huko Arusha.kiuhalisia jamaa huyo bro wetu alichimba madini kweny ngema ya jamaa .
 
Kwani kafanyaje? Uzi si unasema kaua watu .

Kwa Mimi naona kawaida wanamalizana sana kweny ishu za madini no kesi.watu wanatolewa mpaka kafara ..Wapo watu kibao wamemalizana kweny ishu za dhuluna.
Unajisikia unachokisema lakini? Nimekuuliza kwa hiyo ukidhulumiwa inhalarisha uue?
 
Hapa lazima kulikuwa na wizi, tajiri kachoka kuibiwa akaamua awahukumu...nawaza tu
Umeona eeeh!! Huo ndo ukweli wamempiga pesa jamaa kumpa madini makapi then wanategemea nn?
 
Unajisikia unachokisema lakini? Nimekuuliza kwa hiyo ukidhulumiwa inhalarisha uue?
😂😂😂Uongea nn? Hyo ndo sababu mpaka akaua kwamba alidhulumiwa kama ni kuzuri nenda wewe ukazulumiwe .

Mbona kibaka wa kuiba kuku anauliwa wale panyaroad je?
 
kaka tena kwa utawala huu wa jakaya wa nikudunde nikulipe swala la haki sahau
 
Sometime haya mambo yanafkrisha Sana , J4 tangu afungwe gari zake zote hazionekan barabarani , watu wengi wamelost ajira , ni kweli Kaua watu wawili , sasa mnaenda kumuua tena na yeye , Hz ni hesabu mbovu , Bora arud watu wapate ajira maisha yaendelee...!!
Siku akiuawa ndugu yako ndio urudi na hizi ngonjera hapa tuone kama una utu kweli
 
Haya sielewi umeandika nn? Kwa sababu nimeuliza mazingira ambayo jamaa yalimpelekea mpaka akafanya hilo tukio.
Mtoa mada kuna maelezo amenukuu kuna sentensi inasema"walihukumiwa kwa kesi ya kuua kwa kukusudia" hii sentensi peke yake inatosha kabisa hakuna haja ya kuuliza walivyoua kulikuwa na mazingira gani.
Ingekuwa hao jamaa walimvamia muhusika kwa lengo la kumdhuru au kumuibia lugha ingebadilika na kutamkwa"Aliwaua kwa lengo la kujihami"
 
Sometime haya mambo yanafkrisha Sana , J4 tangu afungwe gari zake zote hazionekan barabarani , watu wengi wamelost ajira , ni kweli Kaua watu wawili , sasa mnaenda kumuua tena na yeye , Hz ni hesabu mbovu , Bora arud watu wapate ajira maisha yaendelee...!!
Hiyo uliyoleta ndio hesabu mbovu. Yeye kutoa ajira sio sababu ya kuua wengine.
 
Nimesoma comments karibu zote #
J4 anastahili kuachiwa kama hao marehemu walimdhulumu kwa kumuuzia madini fake maana dawa ya moto ni moto, wao walitaka pesa bila kufanya kazi na hayo ndio malipo yake. Jino kwa jino ndio mfumo mzuri wa business, J4 ahangaike kutafuta pesa wao waje wazichukue tu kirahisi , huko kuzimu ndiko kunakowastahili hao majamaa. Nawapongeza mahakama kwa kumuachia huru J4, haki imetendeka.
"If you kill my dog, make sure you hide your cat".... Muhammad Ali.
 
Alafu jamaa analeta habari za scenarios hapaa.

Watu wanahukumiwa kunyongwa kisa wamechoma mwizi mtaani aloiba Kuku akawapikie wanawe.

Alafu aliyeua watu Kwa makusudi anaachiwa??


Aibu aibu aibu ..

ANGEKUWEPO HAYATI MAGUFULI, HUU UJINGA USINGETOKEA KAMWE.
Umeandika vizuri mwishoni umeharibu kabisa. Kipindi Cha JPM yule jangili mbunge wa Nchambi alikua tembo wangapi mbona hakufungwa jela??

Wangapi waliokua na kesi walilipa fine fu wakaachiwa huru licha ya kwamba ufisadi wao ulileta madhara kwa raia wengi.

JPM Yale Yale tu sijaona tofauti, mfumo wa mahakama haujawahi kuwa just hapa nchini kwa mtu maskini Cha kushangaza Kabudi kelele nyingi hakuna alilofanikisha mpaka anatoka.
 
Back
Top Bottom