Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shida mkuuInaumiza sana
Fikiria Kuna watoto ,wake ,Ndugu za Marehem, Leo hii Utawaambia nn???.
Hii ndo DEMOKRASIA YA RAIS SAMIA ??? ANAYOHUBIRI KILA SIKU??.
Haya tupe scenario iliyomhalalishia kuua hao watuUnajua scenario mpaka akaua hao watu?
HakikaAfrika jela ni kwa ajili ya watu masikini, ukiona tajiri jela jua kaingia cha kike. Ukitaka kesi yako iende haraka haraka na upate hukumu poa hakikisha upo vizuri mfukoni.
Mambo ya ajabu sana, Yaaan Bora wakoloni, walotuonea tukijua kabisa, ni wakoloni.Afrika jela ni kwa ajili ya watu masikini, ukiona tajiri jela jua kaingia cha kike. Ukitaka kesi yako iende haraka haraka na upate hukumu poa hakikisha upo vizuri mfukoni.
Marehemu walimuuzia mzigo wenye carat/quality ndogo wa dhahabu, wakalipwa %, fedha nyingine zikabaki, jamqa kuupeleka sokoni, ndio anagundua tayari ameshawalipa jamaa ela nyingi.Unajua scenario mpaka akaua hao watu?
Ngoja atupe, ili wengine nao wawe wanapima scenario zao, kabla ya Kuua watu.Haya tupe scenario iliyomhalalishia kuua hao watu
Maana seems unajua undani wa hili
Asante haya ndo majibuMarehemu walimuuzia mzigo wenye carat/quality ndogo wa dhahabu, wakalipwa %, fedha nyingine zikabaki, jamqa kuupeleka sokoni, ndio anagundua tayari ameshawalipa jamaa ela nyingi.
Jamaa nao wanaendelea kumdai, yeye hataki walipa tena fedha iliyobaki maana mzigo quality ilikuwa ndogo. Majibizano ndio hadi kuwaua.
Jamaa boko sana.Ngoja atupe, ili wengine nao wawe wanapima scenario zao, kabla ya Kuua watu.
Mkuu, ukiua umeua, ukiua ikathibitika umeua, umeua tuuBoss usiilaumu mahakama kumbuka mahakama inafata ushahidi na utetezi na mwenendo wa kesi kama mwendesha mashtaka akishindwa kuithibitishia mahakama au vifungu vya sheria visipofatwa MTU anatoka tu
Majambazi wanatoa pesa wanatoka thus awakomi kuiba,sema tu siku hizi wamekeshwa na teknologia watu awakai na pesa wala kupokea cash,ni online tu.Nimekuuliza sio ugomvi !! Wangapi wanaachiwa ? Kuna mengi mzee na kuwekwa jela kwa mda ni kama sheria hata ukiua jambazi unaweza kushikiliwa kwa mda then ndo unaachiwa.
Fuatilia sana izo mambo wengine majambazi.
Nyie Mahakama acheni kuona waty ni mbuzi basi, kama hamvuti bangi, basi Acheni Rushwa, Rushwa ni adui wa haki , Rushwa anatesa, Rushwa anaumiza watu
HIVI MTU ALOUA WATU WAWILI KWA RISASI , WATU WAMEKUFA, WAMEZIKWA , NA MMEMHUKUMU KUNYONGWA HADI KUFA, LEO HIII KISA RUFAA, KWAMBA MEZA IMEPINDUKA ?? MPAKA AACHIWE HURU??.
MBONA MNAKOSWA HURUMA NYINYI?? MBONA HAMUWAKUMBUKI WATU WALOWAPOTEZA WAPENDWA WAO ?? TUNARUDI WAPI??.
HUU NDO UTAWALA WA RAIS SAMIA, WENYE KUFUATA MISINGI YA DEMOKRASIA??.
HAYA BASI, JAMHURI HAINA NIA YA KUENDELEA NA KESI, MTUFUFULIE NDUGU ZETU WALOUWAWA BASI, NASISI TUCHEZE NAO, TUPIHE NAO STORI, LIKIWASHINDA HILO, BASI TUAMBIANI, WALOWAUA NDUGU ZETU WAWILI KWA RISASI NI AKINA NANI ???.
MAMBO YA AJABU KABISA NA AIBU ILOPITILIZA.
Wapuuzi Nyinyi, Mnatanguliza Rushwa mpaka kwenye Maisha ya watu, kama mlimuhukum kunyongwa, Leo hii inakuaje mnakoswa Nia ya kuendelea na Kesi ??.kwamba , Hakukutokea Tukio la mauaji?? Kwamba hamna alokufa?? Nakama alokufa nani alimuua?? Kama SIO Jumanne, ninani aliwaua?? Kama ni Yeye, imekuaje aachiwe huru ?? MTUFUFULIE NDUGU ZETU .
Shame on you!! Rushwa Rushwa mpaka mnauza Roho za watu??
Wapumbavu kabisa , mlaaniwe na vizazi vyenu, na Hizo Rushwa mnazokula, Pesa Hizo ziendelee kuwapa umasikin wa Roho na mpoteze Heshima mbele ya watu .
huyu jamaa alihukumiwa hapa !!👇
Leo kaachiwa Huru, ila Polis wamejifanya kumkamata Tena, ili kupima upepo, ili hali JAMHURI ndio hiyo hiyo Polisi !!
Ukali wake ndio ulikuwa unaingilia majukumu ya mihimili mingine.Mkuu, ukiua umekua, ukiua ikathibitika umeua, umeua tuu
Ndioo Sababu Hayati Magufuli Kuna wakati alikua mkali sana.
Mtu alishahukumiwa KUNYONGWA, wamekuja kusubiri JPM amekufa, ndo wakaamua kurudi kwenye rufaaa, na ujanaujanja na Rushwa Rushwa kibao ,Leo ameachiwa huru..
Nini Hatima ya Waliouliwa???,