Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwalimu usitake udharaurike bure.Mahakamani ni pesa tu...Yaan helaa.Daa but inaumiza sana
Wewe ni bure kabisa. Siyo kila kuua kunafanya mtu anyongwe au hata afungwe. Kuna watu wanaua na kuiachiwa, tena wengi tu. Inategemea na mazingira yaliyofanya waue. Kosa lako kubwa wewe unalaani bila kuonyesha marehemu waliuawa kwenye mazingira gani na ni kwa nini. Inawezekana kweli kuwa kuna rushwa imetumika lakini uandishi wako na uking'ang'anizi wako wa kusema kuua ni kuua tu bila kujali mazingira ndiyo kunakuangusha.Mkuu, ukiua umekua, ukiua ikathibitika umeua, umeua tuu
Ndioo Sababu Hayati Magufuli Kuna wakati alikua mkali sana.
Mtu alishahukumiwa KUNYONGWA, wamekuja kusubiri JPM amekufa, ndo wakaamua kurudi kwenye rufaaa, na ujanaujanja na Rushwa Rushwa kibao ,Leo ameachiwa huru..
Nini Hatima ya Waliouliwa???,
Je hili linatosha kujalisha, Kuua Kwa makusudi, na Kumwachia muuaji???Asante haya ndo majibu
Ila amekaa sana ndaniHivi zile chuma zake aliuza kwa Kisesa nae akachomwa moto kwenye viroba siyo?
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya mfanyabiashara huyo.
J4 alitiwa hatiani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya kukusudia ya Ali Abeid na Claude Sikarwanda, hukumu iliyotolewa Machi 13, 2020 na Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu Mwanza, Sam Rumanyika.
Hata hivyo Mahakama ya Rufaa ilibatilisha adhabu hiyo na kutengua hukumu ya Mahakama Kuu Mwanza,iliagiza kesi hiyo jinai namba 131/2017 isikilizwe upya.
Mahakama imemwachia huru leo, baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo. Upande wa utetezi mtuhumiwa alitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
Huwezi hukumiwa leo na kushinda rufaa keshoMkuu, ukiua umekua, ukiua ikathibitika umeua, umeua tuu
Ndioo Sababu Hayati Magufuli Kuna wakati alikua mkali sana.
Mtu alishahukumiwa KUNYONGWA, wamekuja kusubiri JPM amekufa, ndo wakaamua kurudi kwenye rufaaa, na ujanaujanja na Rushwa Rushwa kibao ,Leo ameachiwa huru..
Nini Hatima ya Waliouliwa???,
Ndugu yangu,kuna issue nilikuwa napigania...pesa zimenitoka kweliWe mwalimu usitake udharaurike bure.
Mahakamani ni ushahidi usio na mashaka, ukikosea Mahakama ya Rufaa inamuachia mtu
Kisesa yupoHivi zile chuma zake aliuza kwa Kisesa nae akachomwa moto kwenye viroba siyo?
Huenda hivi vielim vya sheria , ndivo vinavyowatoa kwenye Ubinadamu .Wewe ni bure kabisa. Siyo kila kuua kunafanya mtu anyongwe au hata afungwe. Kuna watu wanaua na kuiachiwa, tena wengi tu. Inategemea na mazingira yaliyofanya waue. Kosa lako kubwa wewe unalaani bila kuonyesha marehemu waliuawa kwenye mazingira gani na ni kwa nini. Inawezekana kweli kuwa kuna rushwa imetumika lakini uandishi wako na uking'ang'anizi wako wa kusema kuua ni kuua tu bila kujali mazingira ndiyo kunakuangusha.
Mbaya nimekumbuka kumbe hukumu ilishapita kabisa 🙄🙄then kaachiwa .Je hili linatosha kujalisha, Kuua Kwa makusudi, na Kumwachia muuaji???
NotedTanzania hapa, we endelea na maisha yako, tafuta hela uje uishi utakavyo wewe hata ukivunja sheria sawa tu ila hakikisha unapesa. Sheria haziwahusu wenye pesa.
Ukienda kweny sheria na maamuzi ya kibadamu basi hakuna haki..kwa sababu binadamu ni watu wenye matamanio ya nafsi japo sheria zake ila mtu anaweza kuvunja kwa maslahi yake kama kupokea rushwa.Huenda hivi vielim vya sheria , ndivo vinavyowatoa kwenye Ubinadamu .
Kosa ni kosa, jinai ni jinai, jinai ilothibitika haikupaswa kutetewa na mapungufu ya sheria ,ushahidi au mashahidi wenyewe.
Wewe, Umeua mtu.... Nani anayeweza kuthibitisha Dhamira yako ya moyon kua hukuua Kwa kukusudia ??. Mazingira ??.
Inawezekana Sijui sheria, ila Sina huo ujinga wa kushindwa kujua kua hapa Kuna RUSHWA NA UHUNI TU.