Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Rushwa inaanzia polisi! Kwenye kesi hizi za mauaji wakishalamba rushwa wanavuruga sana ushahidi. Tangu wamevuruga kesi ya kuuawa kwa dadangu sina hamu kabisa! Ushahidi ulikuwa wazi kabisa mpaka simu waliikamata yenye mawasiliano ya kuua na mtuhumiwa walipomkamata alikiri kuua. Sasa jamaa amewekwa ndani muda wa miaka minne huku nyuma polisi wakavuruga ushahidi wote hata haya maelezo wameyaficha mpaka mtuhumiwa amekuja kuachiwa! IPO siku nitashughulika na mmoja mmoja! Kila nitakapommaliza mmoja nitasema bado mmoja mpaka waishe! Polisi pumbavu kabisa!
 
Nimekuuliza sio ugomvi !! Wangapi wanaachiwa ? Kuna mengi mzee na kuwekwa jela kwa mda ni kama sheria hata ukiua jambazi unaweza kushikiliwa kwa muda then ndo unaachiwa.

Fuatilia sana hizo mambo wengine majambazi.
hebu tujuze tujue na tumhurumie j4, ila ukiishia kwenye mafumbo hivi, humsaidii rafiki yako
 
Nimeuliza na jamaa mleta Uzi kisa kashasema kwamba aliuziwa madini ambayo ni less quality na hao jamaa ndo akawashoot wakati wakitaka pesa zaidi while mzigo ni makapi.

Kama unaelewa hiyo michezo ya madini nenda Arusha ,mwanza ,manyara watu wanauliwa sana na hapo matajiri na hakuna mtu anafungwa...Watu wanadunda mitaani ila walishaua watu kibao kweny hizo biashara.

Ebu jaribu kuangalia hii scenario mpaka akawapiga risasu
 
Rushwa inaanzia polisi! Kwenye kesi hizi za mauaji wakishalamba rushwa wanavuruga sana ushahidi. Tangu wamevuruga kesi ya kuuawa kwa dadangu sina hamu kabisa! Ushahidi ulikuwa wazi kabisa mpaka simu waliikamata yenye mawasiliano ya kuua na mtuhumiwa walipomkamata alikiri kuua. Sasa jamaa amewekwa ndani muda wa miaka minne huku nyuma polisi wakavuruga ushahidi wote hata haya maelezo wameyaficha mpaka mtuhumiwa amekuja kuachiwa! IPO siku nitashughulika na mmoja mmoja! Kila nitakapommaliza mmoja nitasema bado mmoja mpaka waishe! Polisi pumbavu kabisa!
hiyo siku HAIPO acha mikwara
APUMUMZIKE KWA AMANI DADA
 
Marehemu walimuuzia mzigo wenye carat/quality ndogo wa dhahabu, wakalipwa %, fedha nyingine zikabaki, jamqa kuupeleka sokoni, ndio anagundua tayari ameshawalipa jamaa ela nyingi.

Jamaa nao wanaendelea kumdai, yeye hataki walipa tena fedha iliyobaki maana mzigo quality ilikuwa ndogo. Majibizano ndio hadi kuwaua.
Screenshot_2022-12-16-00-29-58-83_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Nimeuliza na jamaa mleta Uzi kisa kashasema kwamba aliuziwa madini ambayo ni less quality na hao jamaa ndo akawashoot wakati wakitaka pesa zaidi while mzigo ni makapi.

Kama unaelewa hiyo michezo ya madini nenda Arusha ,mwanza ,manyara watu wanauliwa sana na hapo matajiri na hakuna mtu anafungwa...Watu wanadunda mitaani ila walishaua watu kibao kweny hizo biashara.

Ebu jaribu kuangalia hii scenario mpaka akawapiga risasu
woow!!! sikulijua hilo mkuu, kumbe chanzo ni biashara ya madini!!??!!., mi nilidhani ni vipuri vya magari au wafanyakazi wanadai mishahara!!!!. hata hivyo hakupaswa kuwauwa hivyo, huo mzimu ataishi nao miaka yote atakayokuwa chini ya jua hili.
 
Huyo bwana baada ya mauaji, alihukumiwaga KUNYONGWA Hadi KUFA.

Amekaa Jela wee, mwaka Jana ndo wakaanza habari za Rufaaa zikiingozwa na Kibatala !!.

Leo jamhuri imesema Haina Nia ya kesi, Mahakama imemuachia huru .

Wakati wanatoka tu, Polisi wakawamkata Tena.
kwa hiyo bado yupo ndani
 
Back
Top Bottom