Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

Yaani nawaza maisha ya huyo mama yalikua miserable like living in hell,kaona anachelewa kufa kammalizia kabisaa!!ningekua Dada wa huyo Mme ningemtimua msibani kaka angu!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Muoaji angeyajuaje hayo kuwa yatatokea?
Dalili zinaonekana mapema, haya tufanye huko hakujua, lakini mkeo anakutamkia umtimue mama yako kwake sio kituo cha kulea wazee, we bado tu upo na huyo mwanamke.. jivike nafasi ya maneno hayo, halafu mlengwa ni mama yako mzazi.
 
wanyakyusa vp ,mbona mmeanza tabia ambazo sio zenu, haya Mambo ni ya bidada wa uchaggani haya.
 
Yaan ni ukatili wa hali ya juu mama wa mume ni sawa na mama mzazi kabisa kaka ilitakiwa mke ajishushe tu ampotezee na amjali maana watu wakizeeka ni wasumbufu unamchukulia kama mtoto tu
Sasa hapo mume hatompenda tena
Kaharibu maisha yake kwa hasira
nyundo 30,zinamsubili ameua kwa kukusudia. Huyu naye neema ni gaidi !!
 
Wewe ni mwanaume hakika. Ubinafsi umetujaa sana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Once nilidate Mdada mmoja,, siku moja alikua geto jpl, akanikuta jina watoto wadogo tunaangalia mpira..

Heeee, siakalopoka..

Hivi wee MPUUZI na vipanya panya vyako kuchafua ndani, haya kwendeni kwenuuu

Nilimuangaliaaaaaaa
Nilimuangaliaaaaaaa



Nikasimama, nikamshika mkono. Nikamtoa nje..nikamwambia Rudi ulipo toka


Ikaishaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Alaaaa, yaaan uchukie watoto wadogo, wee una roho gan hiyo????[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaniuaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mi naweza kua na roho mbaya but not for kids,Dada angu anasemaga mtoto anaeshindwa kukaa na Mimi hawezi kaa na yoyote!yaani nyymbani kwangu km nursery ila wanajaa !mzazi akitafuta mtoto akamkosa kwangu anashtuka

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ewaaa mambo ni hayo... Yaan kuwachukia watoto wadogo ambao Bwana Yesu alisema Ufalme wake ni wawakwao ,tena ili sisi watu wazima tuone ufalme wake, nilazima tuwe kama watoto.


Aaaahhhgggrrrhyyy utakua wee ni kashetan Kadogo[emoji23]
 
Je, wew mamaako alipokuzaa alikupeleka ukakulie huko social security? Hii fikra za kuwatenga wazaz na kuona ni mzigo ni upagan, ukatiri, unyanyasaji kabisa, pumbaf ww

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…