Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Huko mtaani mnaishi chadema pekee au ccm pekee?Wananchiiiiiiiiíiiiii.
Hivi mnasema mnao wananchi wa kushinikiza katiba mpya, hao wananchi wako wapi ?
Mpaka anakufa alisimamia kile anachokiamini, na ndo tunataka kiongozi wa hivyo.Huo ni uonevu lkn mwendazake alikuwa hivyo hivyo leo hii yu wapi?
Mnyoeni makamandaSSH ameanza kulewa madaraka
2030 nilikuwa natamani January achukue, ila kwa tabia hizi chafu za CDM walizoonesha ndani ya miezi 4 tu ya Samia ni bora achukue Mwigulu aendelee kuwanyoosha watu, watu gani hawana uvumilivu na hawajui hata timing ya kufanya harakati zao. Kwa hili Samia inabidi awaachie polisi na vyombo vya usalama vifanye kazi yao, asiwaingilie. Hawa CDM hawana adabu kabisa na siasa za kistaarabu hawawezi.Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.
Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?
Hamjawajua CCM nyie.
Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Tunayo safari ndefu ya miaka kama mia tano,ili kuzinduka kutoka gizani na kuingia kwenye ulimwengu uliostaarabika.safari ya wana wa Israel haikuwa rahisi, wapo waliokuwamo kwenye safari hiyo walikuwa wakimlaumu Musa na wapo walioamini Musa atawavusha. so wapumbavu kama ninyi mnaojitokeza kusema hamna shida na katiba mpya ni wapumbavu tu kama wale wa enzi za Musa. Miaka 60 huo uchumi mnnaojenga usiokuwa ni upi? afu mafala hayazinduki tu, ndio maana sisi tz umasikini kuisha ni ndoto
Mbowe alikutwa chumbani na Rose anakula tundaView attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Weka mabusi hadi akili ziwarudi kama yule anaelishea bure kule Canada,lazima waelewe kwamba nchi hii kuna utaratibu sio kutaka kujiaminisha kuwa huyu mpuuzi Mbowe(TONDO) nae anataka kujiona kuwa yupo level moja na Rais wa nchi.View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Wa kutuzindua ndo hawa akina Isike ?Tunayo safari ndefu ya miaka kama mia tano,ili kuzinduka kutoka gizani na kuingia kwenye ulimwengu uliostaarabika.
Wanayolewa Sasa ,huu mziki mtamu Sana kushushia ya Kilimanjaro ya baridiView attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Ukitaka kuthibitisha nenda wilayani kwako uliza Tarura wametangaza tenda za billion ngapi ndio utajua ni makaratasi au ukweli.Kweli inaenda kwenye maandishi
hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
Inaitwa kazi na dawa hiyo.Mbowe alikutwa chumbani na Rose anakula tunda
Hahaha wanaupiga mwingi kama Barca ya Pep Guardiola[emoji3][emoji3]sukuma gang wameshika mpira sasa.
Safi sana!! Mama anaupiga mwingi sana!! Toeni namba ya simu tuanze kumchangia pesa Mwamba Faru John. Lakini isije ikawa wamelewa akaanguka kama wakati huleeee!!!View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Unadhani barabara zinajengwa kama chipsUkitaka kuthibitisha nenda wilayani kwako uliza Tarura wametangaza tenda za billion ngapi ndio utajua ni makaratasi au ukweli.
Hiyo ni tozo ya mafuta hapo bado tozo za miamala ambazo nyie chadema hamtaki watu watoe Ili wabakie kwenye umaskini ndio maana mnapuuzwa.