Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Wananchiiiiiiiiíiiiii.

Hivi mnasema mnao wananchi wa kushinikiza katiba mpya, hao wananchi wako wapi ?
Huko mtaani mnaishi chadema pekee au ccm pekee?

Last time Katiba ilikwama kutokana na maslahi ya kisiasa sasa haitakiwi kosa kurudiwa.
 
Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
2030 nilikuwa natamani January achukue, ila kwa tabia hizi chafu za CDM walizoonesha ndani ya miezi 4 tu ya Samia ni bora achukue Mwigulu aendelee kuwanyoosha watu, watu gani hawana uvumilivu na hawajui hata timing ya kufanya harakati zao. Kwa hili Samia inabidi awaachie polisi na vyombo vya usalama vifanye kazi yao, asiwaingilie. Hawa CDM hawana adabu kabisa na siasa za kistaarabu hawawezi.
 
safari ya wana wa Israel haikuwa rahisi, wapo waliokuwamo kwenye safari hiyo walikuwa wakimlaumu Musa na wapo walioamini Musa atawavusha. so wapumbavu kama ninyi mnaojitokeza kusema hamna shida na katiba mpya ni wapumbavu tu kama wale wa enzi za Musa. Miaka 60 huo uchumi mnnaojenga usiokuwa ni upi? afu mafala hayazinduki tu, ndio maana sisi tz umasikini kuisha ni ndoto
Tunayo safari ndefu ya miaka kama mia tano,ili kuzinduka kutoka gizani na kuingia kwenye ulimwengu uliostaarabika.
 
hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
 
View attachment 1861764

View attachment 1861765
View attachment 1861766

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

=====

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?

====

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Taarifa Kwa UMMA

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.

Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;

1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)

Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.

Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .

Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Mbowe alikutwa chumbani na Rose anakula tunda
 
Weka mabusi hadi akili ziwarudi kama yule anaelishea bure kule Canada,lazima waelewe kwamba nchi hii kuna utaratibu sio kutaka kujiaminisha kuwa huyu mpuuzi Mbowe(TONDO) nae anataka kujiona kuwa yupo level moja na Rais wa nchi.
 
View attachment 1861764

View attachment 1861765
View attachment 1861766

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

=====

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?

====

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Taarifa Kwa UMMA

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.

Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;

1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)

Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.

Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .

Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Wanayolewa Sasa ,huu mziki mtamu Sana kushushia ya Kilimanjaro ya baridi

USSR
 
Kweli inaenda kwenye maandishi
Ukitaka kuthibitisha nenda wilayani kwako uliza Tarura wametangaza tenda za billion ngapi ndio utajua ni makaratasi au ukweli.

Hiyo ni tozo ya mafuta hapo bado tozo za miamala ambazo nyie chadema hamtaki watu watoe Ili wabakie kwenye umaskini ndio maana mnapuuzwa.
 
hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko

Kule asingeweza pata per diem mkuu ,ndio maana anakimbilia sana mikoani ,imagine amecha msiba machame kwa ajili ya per diem tu.
 
View attachment 1861764

View attachment 1861765
View attachment 1861766

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

=====

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?

====

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Taarifa Kwa UMMA

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.

Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;

1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)

Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.

Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .

Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Safi sana!! Mama anaupiga mwingi sana!! Toeni namba ya simu tuanze kumchangia pesa Mwamba Faru John. Lakini isije ikawa wamelewa akaanguka kama wakati huleeee!!!
 
Chadema Kwan wapinzan wenzenu mbona wametulizana wanaweka Mipango yao,nyinyi tokea Magufuli afarik kila siku fujo tuh,mnajiona wajaaanja KIBOKO yenu kavuta siyo?teh teh
 
Ukitaka kuthibitisha nenda wilayani kwako uliza Tarura wametangaza tenda za billion ngapi ndio utajua ni makaratasi au ukweli.

Hiyo ni tozo ya mafuta hapo bado tozo za miamala ambazo nyie chadema hamtaki watu watoe Ili wabakie kwenye umaskini ndio maana mnapuuzwa.
Unadhani barabara zinajengwa kama chips

USSR
 
Back
Top Bottom