Ananyea debe!Mbowe ni shujaa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ananyea debe!Mbowe ni shujaa !
CCM ni ile ile 🤩🤩View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Mtanyooka tu.pole kijana
Wawekwe maabusu walao miezi minne ,akili zitawarudi ,wapuuzi hawa ,huyu mjinga Mbowe mwanae anasomeshwa Ujerumani yeye huku anahamasisha makongamano ,mrudishe mwanao toka ujerumani aje kushiriki makongamano uchwara ,Mama shikilia hapohapo na ikikupendeza ongeza kidogo. Heshima irudi.
Hahahaha we jamaa umehama chama,chadema nani aliwatuma hahahaha
USSR
Wote watapita tu , hakuna dola iliyodumu milele.
Ananyea debe!
Umeandika kibwege sana !Jambo ambalo Mbowe anapaswa kujifunza ni hili, zama za JK huwa JK alikuwa anakaa naye mezani pale saigoni wananegotiate analamba chake then zinapigwa episodes za kuwapoteza wanachama wetu, sasa zikaja zama za mndava JPM yeye akagoma kunegotiate akaja na formula yake unaunga juhudi au unapotezwa!! hapo ikawa unachagua moja kama wale ndugu zetu costra nostra au sinaloa cartel "money(corruption) or bullets".... kupitia JPM wanasiasa wa CCM wamejifunza jambo juu ya hawa ndugu zetu wanaojiita wapinzani kumbe ni wasanii tu....hakuna negotiation ni undava tu kama unaweza ingia msituni tutakutana huko....hahahahaha
akienda Rais au waziri mkuu unataka yeye aende akafanyaje? kama wa tz mnaiganiwa na hamtaki kuonyesha ushirikiano kama mpumbavu wewe unataka wakulazimishe? tumia akili bwabwa wewehivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
Tondo yuko ndaniiii!!
Mbowe alikuwa zake dubai, baada ya kifo tu cha yule jamaa amerudi kwa kasi mno na mikutano kila kona na episodes zisizoisha.....CDM itisheni maandamano ili tozo ziondolewe au itisheni maandano kutusaidia kudai Fao la kujitoa...hapa tutawasaidia kuandamana lakini haya mambo yenu ya Katiba mpya bakini nayo huko huko...
Muda si mrefu TL naye atarudi halafu wataanza kumlaumu mama baada ya kumshukuru wako huru sasa ndani ya nchi yao...TL aliomba ahakikishiwe ulinzi, bila shaka JPM alimhakikishia ulinzi akaja kushiriki uchaguzi baada ya uchaguzi inaonekana ulinzi aliohakikishiwa ukawa haupo tena akaondoka..
Hiki chama kinastahili kufutwa kabisa ,baada ya kupewa uhuru wa kujiitanua miezi mitatu iliyopita wameonyesha pasipo kuwa na shaka kuwa hawana uvumilivu ,wanastahili pelekwa wanapostahiliHII NCHI NI YA CHAMA KIMOJA CHADEMA WANALAZIMISHA TU ILI NAO WAPATE UGALI.
SI BORA KUJITOA TU NA KUKIFUTA CHAMA ??
Unaonaje jinsi mama anavyowakomesha mataga na sukuma gang?pole kijana