Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

akienda Rais au waziri mkuu unataka yeye aende akafanyaje? kama wa tz mnaiganiwa na hamtaki kuonyesha ushirikiano kama mpumbavu wewe unataka wakulazimishe? tumia akili bwabwa wewe

Huyo jamaa unaemtukana kaongea point Sana,chadema kimepoteza mwelekeo,Kwan wale wabunge wenu Covid 19 mmeshaanza kuchukua ruzuku?
 
Mbowe ametoka kuuguza mgonjwa was korona, nduguye ambaye hatimaye alifariki na alishiriki mazishi,busara ya kawaida ingemtaka akaye karantini siku 14 kuona kama hana maambukizi, lakini kaenda mwanza, anataka kukusanya watu, bila kujali kwamba endapo ana maambukizi atahatarisha afya zao
Tanzania hakuna corona ila kuna Neumonia au changamoto za upumuaji kwa sauti ya Mwendazake😁
 
Unadhani barabara zinajengwa kama chips



USSR
Usipotoa tozo ya mshikamano serikali itapata wapi kujengea barabara? Hizi hapa ni baadhi ya barabara ambazo tenda zake zimetangazwa zinatakiwa kuanza kujengwa mwaka huu afu michadema na vibara wao inapinga kodi za maendeleo.

Bure kabisa nyie ndio maana mnatakiwa kupumzishwa ndani Ili tukamiloshe miradi hii hapa ya barabara za lami 👇👇

Screenshot_20210719-150037.png


Screenshot_20210719-150016.png


Screenshot_20210719-145912.png


Screenshot_20210719-145854.png


Screenshot_20210719-145838.png


Screenshot_20210719-145822.png


Screenshot_20210719-145753.png


Screenshot_20210719-145722.png


Screenshot_20210719-145640.png


Screenshot_20210719-145603.png


Screenshot_20210719-145449.png


Screenshot_20210719-145417.png


Screenshot_20210719-145230.png


Screenshot_20210719-145202.png
 
Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
Mwiraqw bwege km wewe sijawahi kumwona,double standards ndio tatizo,ccm wanafanya mikutano,chadema no.Hofu ya nini!?.
 
Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Wakikimbia kama digidigi wewe utapungukiwa nini ?
 
Back
Top Bottom