Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

CCM ni ile ile 🤩🤩
 
Mama shikilia hapohapo na ikikupendeza ongeza kidogo. Heshima irudi.
Wawekwe maabusu walao miezi minne ,akili zitawarudi ,wapuuzi hawa ,huyu mjinga Mbowe mwanae anasomeshwa Ujerumani yeye huku anahamasisha makongamano ,mrudishe mwanao toka ujerumani aje kushiriki makongamano uchwara ,
 
Jambo ambalo Mbowe anapaswa kujifunza ni hili, zama za JK huwa JK alikuwa anakaa naye mezani pale saigoni wananegotiate analamba chake then zinapigwa episodes za kuwapoteza wanachama wetu, sasa zikaja zama za mndava JPM yeye akagoma kunegotiate akaja na formula yake unaunga juhudi au unapotezwa!! hapo ikawa unachagua moja kama wale ndugu zetu costra nostra au sinaloa cartel "money(corruption) or bullets".... kupitia JPM wanasiasa wa CCM wamejifunza jambo juu ya hawa ndugu zetu wanaojiita wapinzani kumbe ni wasanii tu....hakuna negotiation ni undava tu kama unaweza ingia msituni tutakutana huko....hahahahaha
 
HII NCHI NI YA CHAMA KIMOJA CHADEMA WANALAZIMISHA TU ILI NAO WAPATE UGALI.

SI BORA KUJITOA TU NA KUKIFUTA CHAMA ??
 
Umeandika kibwege sana !
 
hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
akienda Rais au waziri mkuu unataka yeye aende akafanyaje? kama wa tz mnaiganiwa na hamtaki kuonyesha ushirikiano kama mpumbavu wewe unataka wakulazimishe? tumia akili bwabwa wewe
 

Wapuuz Sana,tozo mpya wako kimyaa,,,na wananchi wamepiga kelele bila wao na saut yao imesikika,

Kwan kuwasemea wananchi lazima wawepo bungeni?
 
HII NCHI NI YA CHAMA KIMOJA CHADEMA WANALAZIMISHA TU ILI NAO WAPATE UGALI.

SI BORA KUJITOA TU NA KUKIFUTA CHAMA ??
Hiki chama kinastahili kufutwa kabisa ,baada ya kupewa uhuru wa kujiitanua miezi mitatu iliyopita wameonyesha pasipo kuwa na shaka kuwa hawana uvumilivu ,wanastahili pelekwa wanapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…