Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Wewe huwa unashabikia wale wenye imani yako tu. Mwinyi, JK sasa Samia --- aaaaaaaaMimi sijawahi kuwa chadema,na Sina affiliation yyte na CCM,Mimi siyo fala niwashabikie wanasiasa huku wao wananufaika kimpango wao
akienda Rais au waziri mkuu unataka yeye aende akafanyaje? kama wa tz mnaiganiwa na hamtaki kuonyesha ushirikiano kama mpumbavu wewe unataka wakulazimishe? tumia akili bwabwa wewe
Free mbowe
Tanzania hakuna corona ila kuna Neumonia au changamoto za upumuaji kwa sauti ya Mwendazake😁Mbowe ametoka kuuguza mgonjwa was korona, nduguye ambaye hatimaye alifariki na alishiriki mazishi,busara ya kawaida ingemtaka akaye karantini siku 14 kuona kama hana maambukizi, lakini kaenda mwanza, anataka kukusanya watu, bila kujali kwamba endapo ana maambukizi atahatarisha afya zao
Mzena si bado ipo ?Unaonaje jinsi mama anavyowakomesha mataga na sukuma gang?
Chinembe kama chinembe,unamuliza nani?Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
KabisaYaani wanachoongea na kutenda haviendani
Mbowe ashakuwa scrapper
Kwani wewe si miongoni mwa waliokamatwa?Umeandika kibwege sana !
Umetumwa?Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Kisa Rais ni Mwislam ! we jamaa unasikitisha sana !Huyo jamaa unaemtukana kaongea point Sana,chadema kimepoteza mwelekeo,Kwan wale wabunge wenu Covid 19 mmeshaanza kuchukua ruzuku?
Umeandika kibwege sana !
Wewe huwa unashabikia wale wenye imani yako tu. Mwinyi, JK sasa Samia --- aaaaaaaa
Usipotoa tozo ya mshikamano serikali itapata wapi kujengea barabara? Hizi hapa ni baadhi ya barabara ambazo tenda zake zimetangazwa zinatakiwa kuanza kujengwa mwaka huu afu michadema na vibara wao inapinga kodi za maendeleo.Unadhani barabara zinajengwa kama chips
USSR
Wapuuz Sana,tozo mpya wako kimyaa,,,na wananchi wamepiga kelele bila wao na saut yao imesikika,
Kwan kuwasemea wananchi lazima wawepo bungeni?
Mwiraqw bwege km wewe sijawahi kumwona,double standards ndio tatizo,ccm wanafanya mikutano,chadema no.Hofu ya nini!?.Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
Wana JFChinembe kama chinembe,unamuliza nani?
Wakikimbia kama digidigi wewe utapungukiwa nini ?Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.
Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?
Hamjawajua CCM nyie.
Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Ndio itaenda kuwatoa kina Mbowe?Mzena si bado ipo ?