Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Unafurahia uonevu ??
 
Kama unadai kakamatwa na polisi basi huwezi kusema tena kuwa haijulikani alipo!! Jibu ni kwamba yuko polisi! Vinginevyo utakuwa unadanganya kuwa kakamatwa na polisi wakati siyo!!
 
Kama unadai kakamatwa na polisi basi huwezi kusema tena kuwa haijulikani alipo!! Jibu ni kwamba yuko polisi! Vinginevyo utakuwa unadanganya kuwa kakamatwa na polisi wakati siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…