Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huo ni ubambikaji wa makosa.Mkusanyiko alafu hawajavaa barakoa
Ulitaka wakalale stand nyegezi?
Mwamba wa barafuMwamba kama mwamba[emoji16]
Unajifariji bure tu dada
Nadhani tukio ni kwamba kuna watu wamekamatwa na si akina nani walikuwa hoteleni na walikuwa wakifanya nini kwa sababu haikatazwi kuwa hoteleni na kama inakatazwa, kwa nini zipo? Mbona unahamisha mjadala?Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Hii nukta yako nimeipenda.Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
Niko humu tangu 2015,ban utakula weweKnembe hilo jina utakula ban muda sio mrefu
Hotel ina chumba kimoja tu..!?Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Kina kunti Wana ndoa zao bhana!Wasimbe hawo wa DJ.
Jaribu kutathimini prominent figure wote wa jinsia ya like waliopo chama Cha nyumbu wa ufipa hybrid ya masaai Mara.
Hakuna mwenye ndoa.