Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Ndio itaenda kuwatoa kina Mbowe?
msije kumlilia mtu

Instagram_post_by_BAVICHA_&_CHASO_•_Jul_4,_2021_at_11:15am_UTC%22_.jpg
 
Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Nadhani tukio ni kwamba kuna watu wamekamatwa na si akina nani walikuwa hoteleni na walikuwa wakifanya nini kwa sababu haikatazwi kuwa hoteleni na kama inakatazwa, kwa nini zipo? Mbona unahamisha mjadala?
 
Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!

We jinga kweli uyo rose ni nani ?unafikir kila anamjua sio?
 
Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
Hii nukta yako nimeipenda.

Simtetei Samia na wala siko upande wa Mbowe ila CHADEMA wamekosea kwenye wakati.
 
Back
Top Bottom