Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Chadema ni kama Mtoto anayelilia wembe bila kujua unaweza kumkata . Waache chokochoko .
 
Wewe mwenye Hoja endelea na msisahau kauli zenu za sukuma gang na kusema mama anaupiga mwingi
 
msukule wa makengeza mbowe, unatuchosha kwa taarabu zako humu. Ingia barabarani ukampiganie mbowe
Mkuu naomba hilo neno makengeza usiwe unalitumia mkuu
Kwenu humo hamna hoja , na ni watu wa kutumia matusi na nguvu za vyombo vya dola. Otherwise hamna ushawishi kwa wananchi

Huyo mwingine amekazania makengeza wakati hajafa na kuumbika !!. Mme wake laxima amzawadie mtoto kilema au tahahira tuone kama atamtupa !!
 
Ninyi mna ushawishi, haya shawishi wananchi waingie barabarani tuone
 
hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
Wanaowapa fedha wanataka pesa zao zitumike kwa kazi husika....Mzungu akupe pesa ya Kongamano la kutetea mashoga wewe uzitumie kuwapa pole waliolawitiwa?!
 
Rasmi sasa kuwa Samia ameamua kujiandikia obituary yake mwenyewe mapema. Mungu hataniwi.

Utawala wa CCM ni worse than kuongozwa na jeshi ambalo viongozi wake ni dizaini ya Iddi Amini. It's absurd.

Bora tu sasa aingie Mabeyo & the boys waweze kuleta stabilization katika uongozi wa nchi yetu. Mabeyo is a gentleman - nina uhakika anaweza aka manage transition kutoka mikononi mwa CCM (ambao obviously sasa wamefikia kiwango cha total insanity) na kukabidhi nchi kwa uongozi uliokuwa sober.
 
Ninyi mna ushawishi, haya shawishi wananchi waingie barabarani tuone
Cdm haijawahi kuwa na vurugu bali Ccm inatamani Cdm wafanye vurugu.

Wananchi wanaikubali na kuwapenda Cdm . Kama si kuwaandalia risasi na mabomu ya kuwaleza watu wako tayari. Kwa ujumla wateule ni waoga na wanafiki. Viongozi waliochaguliwa hawawezi kuumiza wananchi wao.
 
Basi sawa, kamanda Jaluo
 
Chadema ni kama Mtoto anayelilia wembe bila kujua unaweza kumkata . Waache chokochoko .
Mimi ni kiumbe dhaifu kwa maana alivyo niumba Mungu na udhaifu wangu nitakuwa dhaifu hadi naingia kaburini.

Nyie mlimlinganisha huyo mfadhili wenu na yesu na mtume hivyo lipeni ghalama za kutukuza
 
Mbona na wewe umerudia yale yale?

Umejuaje kama yeye ni mwanamke?

Kwanza kuna watu wana matusi kama chadema hapa jukwani?
 
Safiii safiiii sanaaa.. Mbowe mjinga sana anamtest Mh. Rais Mama Samia, anaona mama Samia sbb labda ni mwanamke anamdharau, sasa atanyea debe miaka na miaka.
I wish i could be mama Samia, yaani Mbowe Form 6 Div 0 ningeweka ndani miaka 10.. Naapa kabisa.

Mbowe ni kufunga ndani for years. Anamtest Mama Samia, nadhani anaona sbb ni mwanamke anadhania hamfanyi kitu, juzi kati kaachiwa nchi nzima anazunguka kupiga kampeni, labda Mbowe alivyoona hajakamatwa, sasa kaamua kuanzisha movement mpya ya katiba, yote anamtest Mama Samia. Mh. Rais wetu, ebu mpe funzo huyo Mbowe Div 0 ya form 6.
 
Mimi ni kiumbe dhaifu kwa maana alivyo niumba Mungu na udhaifu wangu nitakuwa dhaifu hadi naingia kaburini.

Nyie mlimlinganisha huyo mfadhili wenu na yesu na mtume hivyo lipeni ghalama za kutukuza
Jiweke huru Mkuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…