Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mama anaupiga mwingi ee?Sina muda wa kupunguza ukali na watu wa aina yako .
Wote hao hawajulikani walipo au au ni kuamsha tah
Wewe mwenye Hoja endelea na msisahau kauli zenu za sukuma gang na kusema mama anaupiga mwingiWengi ni wepi?
Usiidanganye nafsi yako. Usiidhulumu ukweli nafsi yako...
Kinachofanyika ktk Tanzania hii ya sasa chini ya serikali na utawala huu hakuna cha "kuangalia maslahi ya wengi" wala nini bali ni kulinda maslahi binafsi ya CCM/watawala wachache na ndugu zao na matumbo yao..
Hili kupitia kwetu sisi wananchi tunaoumizwa, MUNGU MUUMBA hataruhusu lifanyike wala kuendelea. Kama tulivyokataa kwa mwendazake na yeye kupata adhabu yake, ndivyo itakavyokuwa na kwa huyu mwanamke na wengine wajinga watakaokuja mpaka Tanzania itakapokuwa fully liberated...!!
Nyongeza:
Kama unataka kujua kuwa tusiokubaliana na serikali hii haramu ya CCM ni wengi na ndiyo tuliobeba maslahi ya Wengi, basi tuendeleeni na mijadala ya amani, acheni kutumia bunduki na polisi...
Ishara kuwa nyie ni WACHACHE sana na hamna uhalali wowote wa ku - impose jambo lolote likakubalika na WENGI, ni matendo yenu...
Hamna hoja, mnaogopa hoja na mnadhibiti hoja kwa mtutu wa bunduki kwa kutumia polisi kitu ambacho aliyekuwa JIWE a.k.a Mwendazake zake alishindwa na badala kuushinda umma (people's power) aliangushwa na kushindwa yeye...!
Lazime nilitumie ili NIWAKERE, WAKEREKE.Mkuu naomba hilo neno makengeza usiwe unalitumia mkuu
msukule wa makengeza mbowe, unatuchosha kwa taarabu zako humu. Ingia barabarani ukampiganie mbowe
Kwenu humo hamna hoja , na ni watu wa kutumia matusi na nguvu za vyombo vya dola. Otherwise hamna ushawishi kwa wananchiMkuu naomba hilo neno makengeza usiwe unalitumia mkuu
Ninyi mna ushawishi, haya shawishi wananchi waingie barabarani tuoneKwenu humo hamna hoja , na ni watu wa kutumia matusi na nguvu za vyombo vya dola. Otherwise hamna ushawishi kwa wananchi
Huyo mwingine amekazania makengeza wakati hajafa na kuumbika !!. Mme wake laxima amzawadie mtoto kilema au tahahira tuone kama atamtupa !!
Wanaowapa fedha wanataka pesa zao zitumike kwa kazi husika....Mzungu akupe pesa ya Kongamano la kutetea mashoga wewe uzitumie kuwapa pole waliolawitiwa?!hivi CHADEMA wanawapigania watanzania au tamaa tu za madaraka tumeona watanzania wanapata matatizo huyo mwenyekiti wala atujawai mwona ameshindwa kwenda ata kuwapa salamu kariakoo walipo unguliwa na soko
Rasmi sasa kuwa Samia ameamua kujiandikia obituary yake mwenyewe mapema. Mungu hataniwi.View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
====
UPDATES:
=====
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limefunga barabara ya Bwiru maarufu kona ya Bwiru jirani na ukumbi uliopangwa kufanyia kongamano la Chadema la kudai Katiba, hakuna kinachoendelea kwa sasa polisi wametanda barabara nzima wakiwa na magari na silaha za moto
Cdm haijawahi kuwa na vurugu bali Ccm inatamani Cdm wafanye vurugu.Ninyi mna ushawishi, haya shawishi wananchi waingie barabarani tuone
Basi sawa, kamanda JaluoCdm haijawahi kuwa na vurugu bali Ccm inatamani Cdm wafanye vurugu.
Wananchi wanaikubali na kuwapenda Cdm . Kama si kuwaandalia risasi na mabomu ya kuwaleza watu wako tayari. Kwa ujumla wateule ni waoga na wanafiki. Viongozi waliochaguliwa hawawezi kuumiza wananchi wao.
Mimi ni kiumbe dhaifu kwa maana alivyo niumba Mungu na udhaifu wangu nitakuwa dhaifu hadi naingia kaburini.Chadema ni kama Mtoto anayelilia wembe bila kujua unaweza kumkata . Waache chokochoko .
Afadhali sisimizi anatumia akiliChadema ni kama Mtoto anayelilia wembe bila kujua unaweza kumkata . Waache chokochoko .
Wote tunapita, kwani huyo mwamba wenu ataishi milele?Huo ni uonevu lkn mwendazake alikuwa hivyo hivyo leo hii yu wapi?
Mbona na wewe umerudia yale yale?Kwenu humo hamna hoja , na ni watu wa kutumia matusi na nguvu za vyombo vya dola. Otherwise hamna ushawishi kwa wananchi
Huyo mwingine amekazania makengeza wakati hajafa na kuumbika !!. Mme wake laxima amzawadie mtoto kilema au tahahira tuone kama atamtupa !!
CcmMbona na wewe umerudia yale yale?
Umejuaje kama yeye ni mwanamke?
Kwanza kuna watu wana matusi kama chadema hapa jukwani?
Jiweke huru Mkuu .Mimi ni kiumbe dhaifu kwa maana alivyo niumba Mungu na udhaifu wangu nitakuwa dhaifu hadi naingia kaburini.
Nyie mlimlinganisha huyo mfadhili wenu na yesu na mtume hivyo lipeni ghalama za kutukuza