Vaaa miwaniJiweke huru Mkuu .
Samia mnamjaribu nyie wenyewe . Na mnataka nyie ndo muonekane mnamuendesha .Vaaa miwani
Hutaki kunywa sumu au Rudi kwenu BurundiSamia mnamjaribu nyie wenyewe . Na mnataka nyie ndo muonekane mnamuendesha .
Mbona wewe ulivyo jamatwa unawanga ulikuwa uchi wa mnyama?jamani wamemchukua kijambazi, usijekuta kabebwa na boxer tu,
Acha ujinga tumia akili,Kule asingeweza pata per diem mkuu ,ndio maana anakimbilia sana mikoani ,imagine amecha msiba machame kwa ajili ya per diem tu.
Tulieni mnyolewe na hicho Kiburi chenu .Hutaki kunywa sumu au Rudi kwenu Burundi
Yote haya kuzuia watu kujadili Katiba Mpya? Seriously?View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
====
UPDATES:
=====
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limefunga barabara ya Bwiru maarufu kona ya Bwiru jirani na ukumbi uliopangwa kufanyia kongamano la Chadema la kudai Katiba, hakuna kinachoendelea kwa sasa polisi wametanda barabara nzima wakiwa na magari na silaha za moto
Wewe si unalipwa kwa kuchunga ng'ombe wa mwigulu. Unadhani yanayoendelea tz hayatakuhusu. Pole zako.Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.
Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?
Hamjawajua CCM nyie.
Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Alinyolewa SizonjeTulieni mnyolewe na hicho Kiburi chenu .
Amefanya vurugu gani?Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
AmandraaaaaaaYote haya kuzuia watu kujadili Katiba Mpya? Seriously?
Amandla...
PumbavuuuuuHivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
Old wine in a new bottleDuh kumbe wote ni walewaleee,
Inasikitisha sana.
Wasubirie nchi amezaliwa nayo mkononi?Sio uonevu,anaupiga mwingi..hamna adabu nyie mlianza kumtisha Rais,anawapa utaratibu msubirie mnstukana ,safi Sana ngoja aupige mwingi
Kama wao wamezaliwa nayo ndio waingie kupambana basiWasubirie nchi amezaliwa nayo mkononi?
Tutumie akili kidogo..Hivi mnyonyaji na mnyonyaji kati yao ni nani usababisha vurugu?!Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
CDM wenyewe walitimginya Mambo mama alikuwa mstaarabu na msikivu wakaanza kumchokonoa chokonoa mara wamnyoe sijui nywele gani ka mtangulizi wake, na hawataki subira mbona kipindi Cha magufuli walikuwa wapole hivo, so mama akatafsiri Wana mudharau hawa CDM hufanya viongoz wake so harsh Sana aisee, but hapo mwigulu kuwa Rais aisee atamzidi uovu Magufuli kama viroba vya binadamu wenzake alisema ni wahamiaji haramu Sasa si ndo tutazidi kuumia kuliko jiwe.2030 nilikuwa natamani January achukue, ila kwa tabia hizi chafu za CDM walizoonesha ndani ya miezi 4 tu ya Samia ni bora achukue Mwigulu aendelee kuwanyoosha watu, watu gani hawana uvumilivu na hawajui hata timing ya kufanya harakati zao. Kwa hili Samia inabidi awaachie polisi na vyombo vya usalama vifanye kazi yao, asiwaingilie. Hawa CDM hawana adabu kabisa na siasa za kistaarabu hawawezi.
CDM walionyesha dharau kwa Samia, imagine aliwafutia Hadi case na dini na akaambia wawe na subira na Tena mikutano ilikuwa inaruhusiwa Sasa wao kumwona mama Yuko fair wakaanza ukaidi na kumdharau kisa mama, Sasa na mama kaamua awanyooshe kidogo.mwanamke aki react anakuwa mbaya Sana ngoja tuone
Hyo agenda ya katiba ingekuwa na support ya wananchi wangeandamana, Sasa wananchi tu tumevurugwa na makodi mengi mara tozo mara ajira then utuambie katiba unafikiria tutakuelewa. In short CDM waje na agenda zinazogusa wananchi ka tozo, afya na ajira uone ka watakosa support hyo katiba ni janja Yao ya kutaka madarakaMbowe alikuwa zake dubai, baada ya kifo tu cha yule jamaa amerudi kwa kasi mno na mikutano kila kona na episodes zisizoisha.....CDM itisheni maandamano ili tozo ziondolewe au itisheni maandano kutusaidia kudai Fao la kujitoa...hapa tutawasaidia kuandamana lakini haya mambo yenu ya Katiba mpya bakini nayo huko huko...
Muda si mrefu TL naye atarudi halafu wataanza kumlaumu mama baada ya kumshukuru wako huru sasa ndani ya nchi yao...TL aliomba ahakikishiwe ulinzi, bila shaka JPM alimhakikishia ulinzi akaja kushiriki uchaguzi baada ya uchaguzi inaonekana ulinzi aliohakikishiwa ukawa haupo tena akaondoka..