Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
UVCCM walifanya mkutano Jana Dodoma. Nyoko zao let's wait and see!Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji mabadiliko ya katiba
Polisi ndo wamefanya kosa,kuwavunjia milango na kuwakamata wakati wamelala.Mkuu wa mkoa kaweka zuio la mikusanyiko. Makamanda wa Chadema wanasema watakusanyika kwa nguvu kufanya kongamano.
Usiku wa manane wanadakwa. Maana mkuu wa mkoa anazo taarifa za kiusalama.
Je, hapa nani amefanya kosa?
Tusilaumu bila ya kuwa na argument za msingi.
La kusababhisa mikusanyiko ktk wkt wa koronaWamekamatwa kwa kosa gani?
Huyo Mbowe anataka kukamatwa, na akamatwe tu kwani yeye anajifanya ni nani?Mkuu wa mkoa kaweka zuio la mikusanyiko. Makamanda wa Chadema wanasema watakusanyika kwa nguvu kufanya kongamano.
Usiku wa manane wanadakwa. Maana mkuu wa mkoa anazo taarifa za kiusalama.
Je, hapa nani amefanya kosa?
Tusilaumu bila ya kuwa na argument za msingi.
Polisi hawahawa wa Tanzania au unazungumzia polisi wa burindi?Ni Uzalendo kuhudhuria Kongamano la Katiba Mpya hata Mapolisi wajue kuwa hiyo Katiba mpya ni kwa ajili ya vizazi vyao
Unayo nakala ya katiba hapo ulipo?.nionyeshe in kifungu gani kinakataza mikutano ya siasa keenye nchi iliyo chini ya vyama vingi?,hivi unajua katiba inaruhusu hata maandamano ya amani tena wanasindikizwa na polisi bila kuwabugudhi.Uhalifu unatakiwa kudhibitiwa kabla haujafanyika.
Umaarufu Kwa kuwakamataWanazidi kuwapa umaarufu usio na maana, pia wanatengeneza attention paispo sababu
Wangewaacha na kuwapuuza
WENGI walioripoti tukio wanasema saa 9 Usiku namlango ulivunjwa.Una uhakika?
Mbona ccm wanafanya mikusanyiko?La kusababhisa mikusanyiko ktk wkt wa korona
Hawa hawaPolisi hawahawa wa Tanzania au unazungumzia polisi wa burindi?
Una uhakika sabaya analala jela? Naona Kama Kuna maigizo hiviMadaraka yanapita so sio kitu cha kuji proud.... Sabaya ni wa kulala kwenye sakafu?
Then mnaringia jeshi ili ku-intumidate watu wasiandamane? Nlidhani ni face off na CCM as civilians. Nakuhakikishia tungeheshimiana zamani sana kama kule kusini.
Mbona misikitini na makanisani hawakamatwi..idiotJina lako tu linaonyesha wewe ni polisi unayefuata upepo wa mabwana zako unaelekea wapi. Wapo Polisi wenye akili watakufafanulia hapo kituoni kwako Mwahumbi ili uache ujinga. Hujui hata mamlaka ya Mkuu wa mkoa kuhusu ukamataji yakoje na yanalindwa na sheria gani halafu unabwabwaja hapa!
Ni sahihi wakikamatwa! Ni juzi juzi tu mbowe kadai kaka yake kafa kwa corona!! Halafu anajichanganya na watu klj awaambukize corona!! Hafai huyu!! Nani ajuaye kuwa naye aliambukizwa wakati anamuuguza kaka yake?Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji mabadiliko ya katiba
Najua ataachiwa tu baada ya miezi kadhaa but walau ni funzo kwamba sheria hizo hizo zinazotumika vibaya eg: kesi za uhujumu uchumi kukosa dhamana zitatumiwa na kwao pia.Una uhakika sabaya analala jela? Naona Kama Kuna maigizo hivi
Na kweli amekamatwa, sasa sijui kwa nini anapiga mayowe?Mbowe aliomba mwenyewe kukamatwa