Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji mabadiliko ya katiba
UVCCM walifanya mkutano Jana Dodoma. Nyoko zao let's wait and see!
 
Mama angejikalia kimya tu huku asingesikia kelele.
Hilo kongamano hata hapo mwanza wengine wasingejua.
Ujinga mtupu
 
Mkuu wa mkoa kaweka zuio la mikusanyiko. Makamanda wa Chadema wanasema watakusanyika kwa nguvu kufanya kongamano.

Usiku wa manane wanadakwa. Maana mkuu wa mkoa anazo taarifa za kiusalama.

Je, hapa nani amefanya kosa?

Tusilaumu bila ya kuwa na argument za msingi.
Polisi ndo wamefanya kosa,kuwavunjia milango na kuwakamata wakati wamelala.
Kweli we CPL.
 
Ni Uzalendo kuhudhuria Kongamano la Katiba Mpya hata Mapolisi wajue kuwa hiyo Katiba mpya ni kwa ajili ya vizazi vyao
 
Mkuu wa mkoa kaweka zuio la mikusanyiko. Makamanda wa Chadema wanasema watakusanyika kwa nguvu kufanya kongamano.

Usiku wa manane wanadakwa. Maana mkuu wa mkoa anazo taarifa za kiusalama.

Je, hapa nani amefanya kosa?

Tusilaumu bila ya kuwa na argument za msingi.
Huyo Mbowe anataka kukamatwa, na akamatwe tu kwani yeye anajifanya ni nani?
 
Ni Uzalendo kuhudhuria Kongamano la Katiba Mpya hata Mapolisi wajue kuwa hiyo Katiba mpya ni kwa ajili ya vizazi vyao
Polisi hawahawa wa Tanzania au unazungumzia polisi wa burindi?
 
Uhalifu unatakiwa kudhibitiwa kabla haujafanyika.
Unayo nakala ya katiba hapo ulipo?.nionyeshe in kifungu gani kinakataza mikutano ya siasa keenye nchi iliyo chini ya vyama vingi?,hivi unajua katiba inaruhusu hata maandamano ya amani tena wanasindikizwa na polisi bila kuwabugudhi.
 
Madaraka yanapita so sio kitu cha kuji proud.... Sabaya ni wa kulala kwenye sakafu?

Then mnaringia jeshi ili ku-intumidate watu wasiandamane? Nlidhani ni face off na CCM as civilians. Nakuhakikishia tungeheshimiana zamani sana kama kule kusini.
Una uhakika sabaya analala jela? Naona Kama Kuna maigizo hivi
 
Jina lako tu linaonyesha wewe ni polisi unayefuata upepo wa mabwana zako unaelekea wapi. Wapo Polisi wenye akili watakufafanulia hapo kituoni kwako Mwahumbi ili uache ujinga. Hujui hata mamlaka ya Mkuu wa mkoa kuhusu ukamataji yakoje na yanalindwa na sheria gani halafu unabwabwaja hapa!
Mbona misikitini na makanisani hawakamatwi..idiot
 
Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji mabadiliko ya katiba
Ni sahihi wakikamatwa! Ni juzi juzi tu mbowe kadai kaka yake kafa kwa corona!! Halafu anajichanganya na watu klj awaambukize corona!! Hafai huyu!! Nani ajuaye kuwa naye aliambukizwa wakati anamuuguza kaka yake?
 
Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
Una uhakika sabaya analala jela? Naona Kama Kuna maigizo hivi
Najua ataachiwa tu baada ya miezi kadhaa but walau ni funzo kwamba sheria hizo hizo zinazotumika vibaya eg: kesi za uhujumu uchumi kukosa dhamana zitatumiwa na kwao pia.
 
Bora suala la kukamatwa Mbowe limesaidia kupunguza tension ya tozo za miamala. Good strategy on part of Govt.
 
Back
Top Bottom