Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mkuu kwani sasa hivi si mnapumua baada ya dhalimu wenu kufariki?

Unaonaje lakin mama anavyowakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy?
Kwani hakufanya ?!. Mama anapotoshwa tu na wahafidhina lakini ni mtu kuliko mwendazake
 
sasa kwani ulitegemea magufuli yeye
aishi milele!

au una ushahidi kuwa jpm alikatishwa uhai wake kwa 'mkono wa mtu'

magufuli died from natural causes bwana sawa na ndesamburo, bob makani, mtikila, alcardo ntazagwa na wengne wengi
 
Leo sikukuu yangu imeenda vizuri Sana,jogoo wangu niliyemuandaa atalika vizuri kweli kweli .

Mama endelea kuwanyoosha Hawa viwavi jeshi, sio minne tu mama ni mikumi na mitano.

Mbowe na genge lake la wachagga Ni baadhi tu ya viumbe wasiotakikana katika nchi hii
 
Mtu anaeendekeza ukabila ni muflis wa hoja
 
Mjinga mwingine kutoka chato huyu hapa, hivi kweli wewe ulimwona magu mtu wa maana?!
 
Eti 'Tunalitaka jeshi la polisi' Unanijumuisha na mimi kijinga jinga namna hii sema unalitaka peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…