Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

View attachment 1861742

View attachment 1861743

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
Mama anafungua nchi, anatufuta machozi baada ya kutabika miaka 5, mama anaupiga mwingi Sana!! [emoji2][emoji2]

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Ni mwanzo tu wa mapambano, dhalimu alikua kifungo cha kwanza. Mungu ametusaidia kukifungua.
Sasa mnalialia nini wakati dhalimu wenu kafa na sasa mnapumua?

Mama si anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy?

Hebu jaribu kunisaidia kuchungulia kwa Malisa kama bado anatoa vile vi makala vyake uchwara kwamba mama anauopiga mwingi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kule South Africa, Ian Smith alikua na kiburi kama chako.
Get to your senses.

Africa Kusini walichopata ni kuruhusu mtu mweusi awe Rais. Na kupunguza UBAGUZI wa RANGI.

Vitu vingine vyote ikiwemo ARDHI ( NCHI ) bado ni MALI ya MZUNGU.

In short mabadiliko yalikuwa kidogo mno na hayakuwa people-centered. Na hiyo ina athari mpaka leo, Wazulu bado wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wazungu.
 
Inasikitisha Sana,mama SSH hana muda mrefu Sana madarakani!!!!
She is creating her own grave.
 
Back
Top Bottom