Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Lilian Mtei anavumilia mengi

Dj anatomba kila mwanamke wa chadema
 
Nadhani tukio ni kwamba kuna watu wamekamatwa na si akina nani walikuwa hoteleni na walikuwa wakifanya nini kwa sababu haikatazwi kuwa hoteleni na kama inakatazwa, kwa nini zipo? Mbona unahamisha mjadala?
Kwa mwana uvccm unategemea watafanya nini zaidi ya kutaka ku divert tukio zima?
 
Katika hili, Mama ameshafeli vibaya sana.

Wanaomshauri wanamptosha na mpaka hapa CHADEMA teyari wamefanikiwa katika agenda yao ya kushinikiza madai ya katiba mpya.
Kwa hiyo katiba imepatikana?
 
Yani we mandazi kweli chinembe,We unadhani kila MTU ana tabia kama zako we na Mwigulu Chemba.
 
Huyu mama ana miezi mitatu ktk urais wake mambo yanamharibikia kwa kiwango hiki...?

Kama anataka kuiga na kuendelea staili ya uongozi wa aina ya Magufuli, serikali iliyokuwa ya kishenzi, basi yeye ameshashindwa na anakwenda kuipasua vipande vipande nchi hii...!
 
Mbowe ametoka kuuguza mgonjwa was korona, nduguye ambaye hatimaye alifariki na alishiriki mazishi,busara ya kawaida ingemtaka akaye karantini siku 14 kuona kama hana maambukizi, lakini kaenda mwanza, anataka kukusanya watu, bila kujali kwamba endapo ana maambukizi atahatarisha afya zao
Mbona meco alikufa kwa koroona lkn bado watu waliendelea na maisha yao na hukuuliza wala kutoa tahadhali?
 
Kwaio kama ameenda huko ww inakuhusu nn??
Ma uvccm bwana rubbish
 
Back
Top Bottom