Mkuu wewe ni mhamiaji toka Burundi bila shaka, kiswahili chako cha shida mno, "waharifu" ni kitu gani hicho?Kukamata waharifu hadi wawape taarifa
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ni mhamiaji toka Burundi bila shaka, kiswahili chako cha shida mno, "waharifu" ni kitu gani hicho?Kukamata waharifu hadi wawape taarifa
USSR
Msipende kukuza vitu, mbona hawa watuhumiwa walikuja kwangu na tukanywa chai wote kabla ya kupewa vichapo?View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
====
UPDATES:
=====
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limefunga barabara ya Bwiru maarufu kona ya Bwiru jirani na ukumbi uliopangwa kufanyia kongamano la Chadema la kudai Katiba, hakuna kinachoendelea kwa sasa polisi wametanda barabara nzima wakiwa na magari na silaha za moto
Unafikiri majukumu au umuhimu wa katiba ni nini hasa?Acheni kuipa katiba majukumu yasiyo yake Africa shida sio katiba ila ni umaskini uliokithiri mno, mbona nchi yetu Ina sera nzuri na Bado hazitekelezeki pia, hata katiba hii tunaona magufuli alikuwa ana vunja katiba waziwazi na hakuna aliyekuwa ana mwambia lolote. Tanzania needs more than constitutional kututoa kwenye huu umaskini wetu, mbona south Wana katiba nzuri kweli wamebaki kuandamana na kuiba plus uhalifu na weusi umaskini wao umebaki palepale
Lissu aliposema muingie barabarani alikuwa anamaanisha mkakate viuno au ?Acha kupenda uasi kuliko amani.
Kwako unatamani vurugu ndiyo uamini kuwa fulani anawafuasi. Hapa sio afrika kusini.
Sheria ipi iliyovunjwa kudai katiba mpya ?!Hakuna kiongozi atakayevumilia uvunjifu wa sheria.
Tamko la RC ni sheria ?Tamko la Rc
Lipi ?! CHOKOCHOKO .Tamko la Rc
Unaona wivu kwa mwenzio nenda kato......wewe sasa.Lilian Mtei anavumilia mengi
Dj anatomba kila mwanamke wa chademwewe kama unaona wivu.