Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Maelezo mengi ugoro mtupu
 
Maelezo mengi ugoro mtupu
Bora uchague upande mwema kwasababu kuna nguvu juu yetu; sasa uziite hizo ni nguvu za mungu au whatever higher powers.

Muhimu ni kuelewa sio sahihi kunufaika kwa shida za wenzako.

Ila watu tupo tofauti binafsi siwezi kupata usingizi nikielewa mafanikio yangu yanatokana na kuchukua hela ya mtu mwingine haswa mwenye maisha duni kwa dhulma.

Aiwezekani gharama za kuhudumia serikali ya Tanzania iwe kutoka kwa watu maskini.

Hivi kweli unaweza toza kodi watu wenye kipato cha chini na kutumia hela za maskini kuwafurahisha wenye nacho mradi tu ufurahushe kundi la kuku unga mkono ubaki tu madarakani.

Huyo mama yenu ni shetani tu mwenye uchu wa madaraka yaliyomngea anataka kubaki kwa vyovyote vile.

Natafuta video ya kipindi cha ITV za changamoto ya vijana wanaolala mtaani, sasa afadhali ya vijana humo kati yao kuna watoto tena tunaonyeshwa wanalala katikati ya barabara kwangu mimi mtoto ni innocent na hakuna priority kwenye maisha yangu kama mtoto.

Mtoto ni innocent victim of circumstances ambao lazima walindwe kwa nguvu zote for a simple reason they are just ignorant beings.

Mtoto hana hatia anajikuta tu kwenye mazingira na anatakiwa kulindwa kwa nguvu zote; bora wakubwa tulale njaa kuliko mtoto alale barabarani aiwezekani.
 
Unafiki kama kawaida yenu. Eti wananchi wa Mwanza. Au unaogopa ukisema vijana wa Chadema itakosa mvuto?
 
Hauna ka video au ka picha kakionesha tukio la kuzuiliwa kuingia uwanjani.?
Achana na huyo John Pambalu, kazi yake ni uzushi tuu, hao watu Saba ndo jeshi la polisi lilipambana nao likashindwa? Yeye kama kapiga picha kutuonesha fulana sawa siyo tatizo, hao polisi wako wapi wakiwazuia hao watu?
 
Ndugu acha uongo, kuna mwananchi yeyote alilidhibiti jeshi la polisi pale uwanjani????? Niwao tu waliamua kuwaacha waingie wala hakuna mwananchi aliyelidhibiti jeshi la polisi.
 
Safi sana wanamwanza kwa kuonesha njia.
 
Samia amekuza demokrasia na hawa tunawaona na hizi fulana nyakati hizi.

Zingekuwa ni enzi za hayati hata hao saba hizo fulana wangezivalia sebuleni kwao, usiku baada ya kuoga wakisubiri chakula.
 
Hawa Policcm hawajui kabisa wanalofanya- wanamharibia Mama kupata tuzo ya Mo na ya Nobel.
 
Kwa hiyo ulitaka waingie saa ngapi na waingie wangapi wangapi na wakakae wapi? Yaani hela wajilipie halafu uwapangie cha kuvaa? Halafu dude kama hili linajiita great thinker kumbe great sinker.
Endekezeni huu upuuzi huku chama kinazidi kuonekana FUTUHI, kuna kipindi hata mimi niliwahi kuiona CHADEMA ambayo sasa haipo tena.
 
Hivi kama wananchi ndio wanataka katiba mpya- fulana za kuwaonyesha wananchi zinamaana gani?
 
Katiba mpya inakuja
 
Hizo ni mentality zako za hovyo. Wale wamevaa Jezi za Simba?
Kuna mahali nimeeleza kuhusu sare hapo?
Uwezo wako ni mdogo wa kuelewa hoja na usipobadilika huwezi kusaidia chama tunachotamani kiwe mbadala wa chama tawala

Nazungumzia timing eneo sahihi na namna bora kuwasilisha ujumbe ufikie makundi yote bila kugawa wafuasi
 
Hata kama kuna nisichojua , lakini siwezi kufundishwa na mtu duni kama wewe .
Uwezo wako mdogo wa kufikiri unakufanya udharau watu usiowajua
Hutahitaji uchawa kwa upinzani Wala chama tawala
Sio kusapoti kila kitu bila kutumia akili kwa Sababu tu ni chama chako
Unakuwa husaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…