Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Nawaza tu pesa ya kujenga ile ngome katoa wapi, ukizingatia waumini wake wengi ni choka mbaya.ni ya kwake, anaishi kifalme huyo dem,
Niliwahi ishi maeneo ya iseni mwaka 2016 wakati ndo anaanza.