Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao madaktari wanaokutibia unapoa hujui kuna walevi na wazinzi..inshu ni kupona matatizo yako uendelee na maisha yako..yeye akatike mauno yanakuhusu nini.
Bora waafrika waanzishe dini zao waache kutumikia hawa ngozi nyeupe.
#MaendeleoHayanaChama
Pongezi zangu ziende KWA mwanamke mwenzangu mfalme zumaridi KWA kuanzisha huo mradi wa kujipatia kipato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rekebisha kauli; hilo ni JESHI LA MAKERUBI lililoshuka toka Mbinguni kumlinda Mungu chini ya Jua, Mungu wa Zumaridi!
Kabisaaaah yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pongezi zangu ziende KWA mwanamke mwenzangu mfalme zumaridi KWA kuanzisha huo mradi wa kujipatia kipato
Umeona ee yanini kwenda vijijini kuhangaika na vichaka mara ung'atwe na nyoka [emoji849][emoji849]akati mjini hapa ukigundua kipaji chako mambo yanaenda ona akina posa boy wanavyo piga ela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi, na sisi tuanzishe mradi wetu. Halafu wewe uwe Mfalme babyfancy! Mimi nitakuwa Msaidizi wako.
Nina uhakika wajinga wa kuwapiga watapatikana tu! Maana bado wako wengi sana mtaani.
Polisi wa TZ bana.
Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?
Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
Mbona kama mahubiri yake yanaashiria kutokuwa na utukufu na utakatifu wa Mungu wetu! Wanaosajili Taasisi za kidini ni kweli walifanya uhakiki wa kutosha kabla ya kusajili Taasisi yake? Ninachelea kusema lake hilo ni kanisa pia!
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17....
Hivi Ile nyumba ni yake? Huyu zumaridi?Polisi kilicho wakera ni ile video kusambaa na si kingine wanachofanya sasa ni kumkomoa kuonesha wao kina nani.
Polisi bongo ni wakosa akili huwezi ingia kwa mtu kwa kuruka ukuta ikiwa hakuna tukio la ujambazi au uvamizi.