Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Polisi wa TZ bana.

Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?

Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
Huwezi kuona shida ikiwa wewe unaamini Mbowe ni mungu
 
Sijaona kosa la zumaridi..polisi wa tz nani asiyewajua kwa mambo yao ya hovyo.

Naona shetani yupo kazini..kwahiyo zumaridi kakosea kuponya watu wenye shida..nahisi kuna dalili za udini na upinga kristo unaendelea nchi hii..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.
Yaani Diana unaiandika kwa herufi kubwa ila Yesu inaiandika kwa herufi ndogo?
Yesu akuponye akutoe katika vifungo vya mateka ulivyofungwa na huyo shetani, Amen.
 
Mfalme🤣🤣 ..apate alichostahili
 
Hapo kosa ni usafirishaji wa binadamu ama kuwaaminisha waumini yeye ni Mungu anaefufua wafu?

Maana naona kuna maelezo 2 tofauti.

Kama watu wanamuamini kama mfufua wafu na ni Mungu kuna ubaya gani? Mbona watu wanaamini miungu hawajawahi kuiona na wengine wanaenda kuitembelea ilipozikwa kila mwaka na hakuna ubaya.

Zamaridi aachwe aendelee ma huduma yake ya kufufua wafu.
Halafu watu wameamua wenyewe kwa Imani zao wenyewe police wanawakataza kwa nini?
 
Aiseee kuwashika wale makerubi wa Mfalme Zumaridi ni kuwaonea tu.
Zumaridi ndiye ashikwe na hao wawe kama vidhibiti/ushahidi wa kesi ya kuwaweka watu misukule.
Zumaridi kawageuza waumini wake misukule
Mfalme Zumaridiiii
 
Back
Top Bottom