wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Mi naomba hilo zoezi liendelee na makanisa mengine pia isiwe huko mwanza tuu kuna makanisa kuna raia wakigeni kibao wako kwenye kivuki cha "watumishi"kumbe ni njia ya kuishi nchini kinyume na sheria.Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17.
Pia soma
Sent using Jamii Forums mobile app