Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

Polisi yamkamata mungu zumalidi, hapa tunaona makerubi wa mfalme wakiwapiga biti police
 

Attachments

  • 4857833-49bca2c5459995cc6ac91c74baaf6966.mp4
    4.3 MB
Mungu wa mbingu na ardhi amsaidia mjumbe wake. Huyu ni kweli na hana shaka kwa maneno na vitendo vyake. Mashetani yanajaribu kumwangusha ila hawataishinda nguvu ya Mungu.
 
Mwingine huyu hapa anajiita mungu kanisani kwa baba godi mfumo wake wa huduma ni kama zumarid nao ufuga watu
 
Hapo kosa ni usafirishaji wa binadamu ama kuwaaminisha waumini yeye ni Mungu anaefufua wafu?

Maana naona kuna maelezo 2 tofauti.

Kama watu wanamuamini kama mfufua wafu na ni Mungu kuna ubaya gani? Mbona watu wanaamini miungu hawajawahi kuiona na wengine wanaenda kuitembelea ilipozikwa kila mwaka na hakuna ubaya.

Zamaridi aachwe aendelee ma huduma yake ya kufufua wafu.
 
Polisi wa TZ bana.

Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?

Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
Bado atawashinda akisema alikuwa akiwapa huduma za maombezi,maana hata hospital rika zote wapo vichanga kwa vizee.
Mfumo wa kiimani ni vigumu kuudhibitisha kisheria Ili umtie hatiani mtuhumiwa.
Ndo maana hata yule wa Ghana aliyewanyoa waumini wake tena live mbele ya kanisa, pia kuwaogesha kina mama live kanisani bado Sheria hamzipati. Labda tu kama imani itavunja Sheria mfano mauaji.
 
Lipelekwe lupango kabisa likabivywe korodani kabisa, aaah grrrrh!;! kweli haina hizo ila walibivye tu.
 
Back
Top Bottom