Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

ni ya kwake, anaishi kifalme huyo dem,
Nawaza tu pesa ya kujenga ile ngome katoa wapi, ukizingatia waumini wake wengi ni choka mbaya.

Niliwahi ishi maeneo ya iseni mwaka 2016 wakati ndo anaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…