Kundi la vijana ni kundi la kufanya kazi na si la kutafuta / kutengeneza kazi. Serikali itengenezeAJIRA na WAAJIRI. Hiyo ndio kazi ya serikali mengine ni porojo tu. Mara ooh vijana wajiajiri hiyo ni kukimbia wajibu. Dunia ya sasa si ya mtu kushika jembe la mkono alafu ukadai umejiajiri wewe unakimbia kutokufa kwa njaa tu!!