Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Salaam Wakuu

Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75%

Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
 
Hahah Mwanza kuna Bandari pia hilo la Busisi ni si ajabu by the way tu, nilivyosikia ni kwamba Mwarabu kapewa Bandari zote kwenye Bahari na Maziwa Makuu kama ni kweli nilivyosikia labda safari nyingine ni Kigoma kuna Bandari pia inapoishia Reli yetu kati, …
 
Acha Mama Yanga Aifungue Nchi, Amos Makala Nafasi Yake Ya Kutubu
 
Back
Top Bottom